Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mimi sasa hivi ni kama Rapunzel namsubiri Knight wangu aje anitoe kifungoni...We nenda jioni
Mimi sasa hivi ni kama Rapunzel namsubiri Knight wangu aje anitoe kifungoni...We nenda jioni
YesHamna naongea ukweli niko deep sana kuhusu hiyo mada ya bakora ujue
SawaYes
Simba
Arsenal
Chelsea
Nyie sio kwamba hampo bali hamna shabahaMimi pia huwa sipo kama kubwa lao
Cc bitoz
Mimi labda kwenye 400 kama kunguru [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]So soon!! Mi labda kwenye 120
Hawezi kuleta ujinga sababu mama ake hajawahi kipigwa ila ana tabia nzuriNdio labda niwe siyo baba ake
Aki balehe aka leta ujinga ana pgwa
HahahaUmitubu LAKINI???
Anajaribu kukuwinAaaah
I.... U its like unaongea vitu nnavo taka niskie
[emoji28]
Weka pichaHiki kicheko ni cha uchochezi kabisa
Huko 120 kwa maisha ya siku hizi hufiki....labda ukaishi china wakupe ile chai ya majani yanayoongeza life span. Siyafahamu lakiniSo soon!! Mi labda kwenye 120
Hivi Sweetiepie kaiona hiiHahaha
Walaaa JJ wangu yupo
Karibu CobblepotsAhsante sana Sweetiepie.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Anataka akuombee weweUmeombewa tayari
[emoji87] penze chali!!!Yes
Yaan i mean unaongea vitu ambavo
Kuna mtu ilibid ndo aviseme
Sio kwamba una pretend
Duhhh
Lugha zangu kueleeka ni ngum[emoji28]
iiiiih??[emoji32][emoji32]I loove death, ubinadamu unachosha
After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer
Uwa naogopa majiMi naijua ila sio kigamboni, imepakana na amani beach
Na nyie mnapenda kifo ndio huwa hamfi ng'oI loove death, ubinadamu unachosha
After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer
Ndio nini hiyo??Sweetiepie nina mafuta ya kipago unatakiwa nikupake
Bro walio kufa wana rahaMimi labda kwenye 400 kama kunguru [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ina maana mpaka wamulikiwe?Nyie sio kwamba hampo bali hamna shabaha