Makapuku Forum

Mimi pia huwa sipo kama kubwa lao

Cc bitoz
 
Hawezi kuleta utukutu. Anaanzaje kwa mfano??
Twin...watoto hawatabiriki...ujue kuna tabia anaweza akaidevelop ukimchekea chekea anaweza kukuwa nayo...ni heri akakanywa na fimbo kidogo juu ndio huwa anaelewa somo. Mfano mimi nakumbuka jambo lolote baya nililofanya utotoni sikuwahi kurirudia baada ya kucharazwa maana nikiwaza yale maumivu tu naishiwa pozi...true story mi nilikuwa nna michezo ya hatari sana ambayo mingine pengine ingeweza kunidhuru hadi mimi mwenyewe...imagine mama angekuwa kimya tu.pengine ningekuwa nimeshapoteza uhai au kuharibikiwa kabisa pia nimeshuhudia watoto waliolelewa kimayai mayai sana walivyokuwa baadae. fimbo inamuhusu mtoto.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…