Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,936
Mtoto mayayi weweHata kidogo mimi hapana
Mtoto mayayi weweHata kidogo mimi hapana
Aku!!Na mimi ulvo kuja nka jua Aple ndo kaja
Mweer!!
Duuh sala za usiku hizi sio kabisaWe fumba macho uwombewe
Hukumtag sasaNimeweka ngoma za Oldies nkajua mdau utakuja nkaona hutokei
HahahaSo you are younger than..
Ni kwenye page 9000# mwanzoni mwanzoni nadhani sikumbuki, humu nimechanganywa leo.Aaaah bahati mbaya Jamani.
Next time tag me please ili nikija tu nizione!!
Ziko ukurasa wa ngapi nizitafute??
Mi mgeni maeneo hayaUnashangaa nini???
Kifo sikitaki sasa hivi...nikifika 80 kije tu.![]()
![]()
![]()
![]()
hebu acha uoga
Ras Kutani hii hii ya kimbiji??Las kutani kutanifaa sana
Ya Simba au?Nachek mech uki nachat
KaribuMi mgeni maeneo haya