Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Huwa tunawapeleka zooNa ninyi wapelekeni chatu mbugani
Huwa tunawapeleka zooNa ninyi wapelekeni chatu mbugani
Shemejiiiiii!!!! Missing u sanaa !!!shem
KumbeHuwa tunawapeleka zoo
hata usiku beiby, napenda unapoweweseka tuNdoto za mchana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la heri huko uendakoMsata moja mpaka pangani tuombeane
Hawezi ila ukimchokoza tu ndo anakufanyizia.....Usiulize sana. Atakugeuza kuku bure shauri yako
nipo shemu wangu!!! nijalie Hali ya kakaangu... missing قصث $hemShemejiiiiii!!!! Missing u sanaa !!!
ile ni timu ya sayari nyingine ....Hivi Barca bado ipo au imetolewa?
Yuko pouwa sanaaaa.....shemejiiiii mwambie dada amesahau wimbo wa "Aiyoyo kuolewa ntarudi nyumbani kutembea"......nipo shemu wangu!!! nijalie Hali ya kakaangu... missing قصث $hem
HahahahHawezi ila ukimchokoza tu ndo anakufanyizia.....
Hapana msata ndio kikazi ila pangani kula bhataSafari njema Mshana......ila pangani kunani ? Au ndo kwenye zile kazi![]()
Safi sana nilijua utanielewa tu dada angu..Nipe mrejesho basi..Uwiiii nimekupata sasa
huh ... hayya bhana tukutane cairoNaona Chelsea umeiingiza kimakosa, hizo nyingine nna mahaba nazo sana
Halafu wala shemeji yako hazipendi hivyo usidhani nimeshawishiwa, nilianza kupenda Madrid enzi ya Kina Zizzou, Raul nk
United enzi ya Beckam
Na Yanga toka mdogo
chonde chondee linamo usije usije ukamwambia mshana jr.Neinei nitamuambia kaka yangu mshana Jr![]()
![]()
we jitie ubazazi tu hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja nimwazimishe power bank yangu.Ukija tumefika 100k
usijali shemeji, nitamwambia tu lakini EPL hatuna chetuYuko pouwa sanaaaa.....shemejiiiii mwambie dada amesahau wimbo wa "Aiyoyo kuolewa ntarudi nyumbani kutembea"......
Usijali ndo Soka Hilo!!!usijali shemeji, nitamwambia tu lakini EPL hatuna chetu