Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Jitahidi na wewe utulie sasa
Jitahidi na wewe utulie sasa
Karibu kijana. Ukisema mji unaamaanisha nini.. Mke au makaziAsante kwa usajili....sasa bila shaka na mm kama sheria zinaniruhusu nipatiwe mji tafadhali [emoji4] [emoji4]
Mji nguvu zako tu ila sio kwenye miji ya watu tuAsante kwa usajili....sasa bila shaka na mm kama sheria zinaniruhusu nipatiwe mji tafadhali [emoji4] [emoji4]
nakuona unatumia nguvu nyiiingi kunipondea lakini ndo hivyo mtoto keshanidondokea, nacheka kwa dharau, teh kama dameAsije tu kukuita mwanaune suruali humu. Jitaidi
Uwiiii nimekupata sasaUmeniangusha dada, lengo lilikuwa si Mamba Kotela ebu rudi soma btn the lines tena ndiyo urudi kunijibu.. Bila yeyote kushtuka lakin
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye ulimwengu wa mahabaUkapelekwa wapi?[emoji41]
NehiUna undugu na DjChoka?
Haya ushatafsiriwa kule na emmguykwakweli sijaelewa hebu ninong'oneze tena
Mwambie huyo. Kwangu raha tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye ulimwengu wa mahaba
[emoji4] [emoji4] mke makazi tutapata tu hakuna tatizoKaribu kijana. Ukisema mji unaamaanisha nini.. Mke au makazi
Sawa mama.. Mwanzo mtamuHuyu ni mwanaume suti si suruali
Una wivuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Walianza Adam na Eva wakavuma mwisho wakafulia sembuse....
Raha kama nipo dunia ya peke yangu.[emoji8]Mwambie huyo. Kwangu raha tu
Penda habat weyee???[emoji2] [emoji2] [emoji2] kwenye ulimwengu wa mahaba
Sheria ipo 1 tuAsante kwa usajili....sasa bila shaka na mm kama sheria zinaniruhusu nipatiwe mji tafadhali [emoji4] [emoji4]
Hahaa basi msajili anipe majina ya walio huru kama anayo na mm niwe na pa kuanzia[emoji4] [emoji4]Mji nguvu zako tu ila sio kwenye miji ya watu tu
Ndio ww hupendi?Penda habat weyee???
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kwangu