EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,510
yaani huku nikikuacha kidogo tu wanakusumbua bora tuwe tunachat PM tu..
Hahahahaaaa..... Mtaanzaje kwenda pm huko mkaziachia hizi 'likes' zetu.Kabisa emmyguy ana shobo sana[emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wewe Linamo, huyo jamaa yako anakusumbua tu. Hapa penyewe jana kaachana na msichana wa mtaa wetu.