Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Neinei nitamuambia kaka yangu mshana Jr![]()
alafu wewe Linamo ntakuMorroco ohoo!!
we jitie ubazazi tu hapa

Neinei nitamuambia kaka yangu mshana Jr![]()
alafu wewe Linamo ntakuMorroco ohoo!!
we jitie ubazazi tu hapa

nishafikiriwa kitambo hapa nipo na mtoto kajilaza kifuaniJapo kwangu hataweza, mwambie kabisa wifi, ibra anataka mambo yaharibike ili afikiriwe
Wa mchangani. Bunju kumejaa vichaka ujueHapo kwa ndala fc a.k.a vyura fc
Ukaamua kuujali mchepuko?Yule bado ni wangu,ila jana kuna mtu alikuwa anatafuta company.
Tunafuga nyoka una lingineWa mchangani. Bunju kumejaa vichaka ujue

Haya mama una moyo ka mashabiki wa arsenalMi nna mahaba nayo sanaaaaaaaaa![]()
Mi nawe hatuwezi enda sawa,
we Chelsea mi Man United
We Barca mi real Madrid
We Simba mi Yanga
Na labda kuna timu zingine za ovyooo kama hizo unazozipenda mi sizijui
Ukija tumefika 100kBattery low daah
Nyoka wa kuchezea ngomaTunafuga nyoka una lingine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ulikuwa hujui? Nyie si mnafuga vyura na samaki?Nyoka wa kuchezea ngoma

Duuuh. Ni 10kUkija tumefika 100k
Perege na kambaleUlikuwa hujui? Nyie si mnafuga vyura na samaki?![]()
![]()
![]()
ili iweje na impe faida nani? ukweli utakuweka huruQuote sehemu niliyowahi kukukubali
Ufike salama mshana Jr vipi cute b umempitia?Msata moja mpaka pangani tuombeane
bora umfariji tu mkuuHaya mama una moyo ka mashabiki wa arsenal
Safari njema kaka mkubwaMsata moja mpaka pangani tuombeane