Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,077
ila naomba huo urafiki wako na mshana jr ufeYule bado ni wangu,ila jana kuna mtu alikuwa anatafuta company.
ila naomba huo urafiki wako na mshana jr ufeYule bado ni wangu,ila jana kuna mtu alikuwa anatafuta company.
Mi nawe hatuwezi enda sawa,Hapo Bongo ndo umeharibu kabisaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kabisa halafu huwa wanashinda wakiwa 11 vs 10Ila hapo kwenye yeboyebo tu ndo umeharibu.. Hyo timu hata rangi yake tu haivutii
Hehehehehe kausha basiiiiiiiiMalmo fc
Kumbe unapajua eehanaishi kule naniliu, kwenye mananiliu kule
Tarehe 19 nitakusindikiza msibaniMi nawe hatuwezi enda sawa,
we Chelsea mi Man United
We Barca mi real Madrid
We Simba mi Yanga
Na labda kuna timu zingine za ovyooo kama hizo unazozipenda mi sizijui
Wapi ndugu yanguUmepotea maa[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Tunatishaa eeehh!!Makapuku ni hatari sana
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Hehehehehe kausha basiiiiiiii
Unaogopa kushushwa shipaeeeila naomba huo urafiki wako na mshana jr ufe
mke wa nani tenaIbra, umeamua kumpenda mke wa mtu!
Quote sehemu niliyowahi kukukubalihujawahi kunikataa kabisaa.. Harafu jana nilikuwa na yule dada yako
Team mbeleko hao wanajulikana..Kabisa halafu huwa wanashinda wakiwa 11 vs 10
Hapo kwa ndala fc a.k.a vyura fcWapi ndugu yangu
kitambo hiyoKumbe unapajua eeh
Na unakomaa kweli.ok, ngoja niendelee kukaza kamba za kiatu kisije kikanivuka bure..
Mi nna mahaba nayo sanaaaaaaaaa[emoji108]Ila hapo kwenye yeboyebo tu ndo umeharibu.. Hyo timu hata rangi yake tu haivutii
[emoji23] [emoji23] alafu wewe Linamo ntakuMorroco ohoo!!Unaogopa kushushwa shipaeee
Hata mimikitambo hiyo