Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,747
- 12,462
wananisingizia mke wangu, kwanza zamani nilikuwaga padri nilivyoshindwa ndo nikakupata wewe, sina mwingine kweli babyTena yamekuwa hayaaa[emoji15] [emoji15]
wananisingizia mke wangu, kwanza zamani nilikuwaga padri nilivyoshindwa ndo nikakupata wewe, sina mwingine kweli babyTena yamekuwa hayaaa[emoji15] [emoji15]
Si kalianzisha huku ni kijiwe cha Makapuku na AKITUTUSI TUNAMTUSI
NO BAN
Haki sawa
.................
We usinivunjie ndoa, kukukataa isiwe tabuwewe ndiye hawara uliyenisaliti
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] Una michepukowananisingizia mke wangu, kwanza zamani nilikuwaga padri nilivyoshindwa ndo nikakupata wewe, sina mwingine kweli baby
Anajiitaje vilee!?Anapenda couple yetu huyooo hadi jina kaiga
Anayemfuatafuata kapuku punguani ni KIBIBI KICHAFUCHAFU CHENYE UBONGO WA NYATI. Achana nae, huyo ni kapuku na punguani pia.
kumbe wachawi wenginasubiri kukuona ukimuacha ili nichukue nafasi
Umesahau[emoji57] [emoji57] [emoji57]Anajiitaje vilee!?
Sawa japo hata mi naitaka, Jana niliikosa kosa kosa kidogo tuuuuJemina unishtue badae nije nitupie post ya #9000
Mmemshambulia bibi Faiza hadi akakimbia nduki.
sina baby, tatizo ibra anataka kuharibu kila sehemu hata jimena anataka kumharibia,[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] Una michepuko
[emoji15] huo Msunyo ni hatareee aiseee!!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahaa, jana nliwazid maujanjaSawa japo hata mi naitaka, Jana niliikosa kosa kosa kidogo tuuuu
Haufai[emoji15] huo Msunyo ni hatareee aiseee!!!!
Japo kwangu hataweza, mwambie kabisa wifi, ibra anataka mambo yaharibike ili afikiriwesina baby, tatizo ibra anataka kuharibu kila sehemu hata jimena anataka kumharibia,
Ibra[emoji57] [emoji57] nikikukuta tena nakupa talaka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji7] [emoji7]sina baby, tatizo ibra anataka kuharibu kila sehemu hata jimena anataka kumharibia,
Aliyeitupia jana ni mkuu MANDELAA KIWELU na aliandika hakuna namna sasaHahaa, jana nliwazid maujanja
Kwaiyo na nyie mtakaa kwenye uchumba mpaka mzeeke??? Limamo tafadhali..wananisingizia mke wangu, kwanza zamani nilikuwaga padri nilivyoshindwa ndo nikakupata wewe, sina mwingine kweli baby