Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,501 makaveli10 said: Ngoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale. Click to expand... Hahahahaha Mweeer!!!
makaveli10 said: Ngoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale. Click to expand... Hahahahaha Mweeer!!!
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 27, 2016 #90,502 Jimena said: Sa uvaaji gani huo? Click to expand... Km wa babu ako .......
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,232 Reaction score 68,262 Aug 27, 2016 #90,503 makaveli10 said: Matatu.. Hiz gari za kenya. Au Matatu.. Range rover anazo tatu, Niweke sawa hapo diktekta mussolin Click to expand... Anazo range rover tatu
makaveli10 said: Matatu.. Hiz gari za kenya. Au Matatu.. Range rover anazo tatu, Niweke sawa hapo diktekta mussolin Click to expand... Anazo range rover tatu
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,504 Jimena said: Mwaka 1933 lol Click to expand... Eeeh Mie wa kitambo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 27, 2016 #90,505 Mussolin5 said: Ndio nchi inayoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi. Pia kuna Jenerali Sani Abacha. Rais aliyefariki akipiga shoo na michepuko. Click to expand... Huyu alikuwa anaogopwa balaa, alivyokufa watu walishangilia sana
Mussolin5 said: Ndio nchi inayoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi. Pia kuna Jenerali Sani Abacha. Rais aliyefariki akipiga shoo na michepuko. Click to expand... Huyu alikuwa anaogopwa balaa, alivyokufa watu walishangilia sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 27, 2016 #90,506 makaveli10 said: Hivi n'djamena na jimena ni ndugu au!!?? Click to expand... Sio ndugu, wananiiga tu kwa vile wananizimikia
makaveli10 said: Hivi n'djamena na jimena ni ndugu au!!?? Click to expand... Sio ndugu, wananiiga tu kwa vile wananizimikia
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #90,507 werrason said: Morning family Click to expand... Morning!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 27, 2016 #90,508 shululu said: Cc sweetiepie Click to expand... Ankali nakuona tu
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,509 makaveli10 said: Hivi n'djamena na jimena ni ndugu au!!?? Click to expand... Mapacha hao
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 27, 2016 #90,510 Bitoz said: View attachment 388537View attachment 388538View attachment 388539View attachment 388540View attachment 388541 Haile Jah ....... Click to expand... I and I
Bitoz said: View attachment 388537View attachment 388538View attachment 388539View attachment 388540View attachment 388541 Haile Jah ....... Click to expand... I and I
lil wayne JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 992 Reaction score 905 Aug 27, 2016 #90,511 HBD Tajiri Mnene.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,232 Reaction score 68,262 Aug 27, 2016 #90,512 Jimena said: Wazee wa fix katika ubora wenu Click to expand... hahaha...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 27, 2016 #90,513 Sweetiepie said: Huyu mbona kajificha humo ndani penye giza hataki tuone suraaa...! Click to expand... Anamuogopa Dikteta uchwara hujasikia maenzao kavunjwa miguu .......
Sweetiepie said: Huyu mbona kajificha humo ndani penye giza hataki tuone suraaa...! Click to expand... Anamuogopa Dikteta uchwara hujasikia maenzao kavunjwa miguu .......
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 27, 2016 #90,514 Mussolin5 said: Hajafa. Anakula matunda yake ya U-loyal Click to expand... Huyo kaifaidi Dunia
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,515 Mussolin5 said: Kumbuka alikuwa ni mpinzani. Click to expand... Mkuu Huyo yaan upinzani wake ni kama wa Chey hivi DA ndo walikuwa wapinzani wenyewe Halaf wakati ana kaimu alikuwa waziri wa mambo ya ndani so alikuwa kwenye cabinet
Mussolin5 said: Kumbuka alikuwa ni mpinzani. Click to expand... Mkuu Huyo yaan upinzani wake ni kama wa Chey hivi DA ndo walikuwa wapinzani wenyewe Halaf wakati ana kaimu alikuwa waziri wa mambo ya ndani so alikuwa kwenye cabinet
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,232 Reaction score 68,262 Aug 27, 2016 #90,516 shululu said: Asante sana na Sabato njema Click to expand... Ubarikiwe mkuu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 27, 2016 #90,517 Mussolin5 said: hahaha...kama mbunge wa ccm Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,589 Aug 27, 2016 #90,518 Szczesny said: Jina nmelipenda sanaaa Click to expand... Hahaa... Lihifadhi hilo kwa head
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #90,519 Jimena said: Morning all Magazeti ya leo jumamosi yanawajia kwa hisani ya binamu Szczesny na 10 kubwa Karibu tuangalie yake yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma kama ifuatavyo View attachment 388464View attachment 388465View attachment 388466 Click to expand... Asante kwa magazeti...
Jimena said: Morning all Magazeti ya leo jumamosi yanawajia kwa hisani ya binamu Szczesny na 10 kubwa Karibu tuangalie yake yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma kama ifuatavyo View attachment 388464View attachment 388465View attachment 388466 Click to expand... Asante kwa magazeti...
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #90,520 Jimena said: Nawe unalipenda hilo?? Click to expand... Sanaaa Hadi naliotaa