everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Unadunda England....Ila utadunda kwa Real Madrid
Unadunda England....Ila utadunda kwa Real Madrid
Hiyo itakua night kali sasa.., kuna wakali wa hyo midaPoleee utajaribu ikifika 100k
aah! uvumilivu wangu ndo mafanikio yangu kakaFresh kaka,naona bado unahangaika.
Ikiwa Madrid itashinda sina neno, ntakuwa shahidi yako tu maana hakuna namna sasahapa fainali inajirudia kama ya mwaka 2014
Real Madrid Vs Atletico Madrid.
neno langu siyo sheria kila mtua aseme Ameen.
ila wekeni kama kumbukumbu tuu.
Jimena utakuwa shahidi wangu hapa
hapa tunawaza kombe na siyo kumuwaza Man cityIkiwa Madrid itashinda sina neno, ntakuwa shahidi yako tu maana hakuna namna sasa
Endelea tu kakaaah! uvumilivu wangu ndo mafanikio yangu kaka
ok, ngoja niendelee kukaza kamba za kiatu kisije kikanivuka bure..Endelea tu kaka
Euro timu yako IPI?Unadunda England....
Poa bro.ok, ngoja niendelee kukaza kamba za kiatu kisije kikanivuka bure..
England niko Chelsea lakina Hispania niko BarcaWewe juzi nilikuona unawatetea Barcelona
dah pole mkuuaah! uvumilivu wangu ndo mafanikio yangu kaka
Lakina au Sio. Chelsea ndo timu mama ila Barcelona mama I a kamboEngland niko Chelsea lakina Hispania niko Barca
Barca team sema ndo una wivuLakina au Sio. Chelsea ndo timu mama ila Barcelona mama I a kambo

England niko Chelsea lakina Hispania niko Barca
Poa bro.
Umeshapata ubavu wa kushoto??.
mmh! hapa napata wasi wasi..Hapo Bongo ndo umeharibu kabisaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Manchester United
Real Madrid
Malmö FC
&
Yanga

Mimi nimejitolea kuwa England pande zote nipo na Reds wenzangu.Euro timu yako IPI?
England niko Chelsea lakina Hispania niko Barca
nilijua tu huyu ni shàbiki wa Barca ndo mana akawa ananisakama..!!!!
