Makapuku Forum

Makapuku Forum

atl.PNG
h.PNG
 

Attachments

  • man.PNG
    man.PNG
    48.1 KB · Views: 32
SOMA HAPA MAELEZO MUHIMU:

Makapuku ni nani?
TOP 10 makapuku tishio JF
Underground vs Wakongwe wa JF
JF kama Group la WhatsApp

KAPUKU ni
*Member aliyejiunga from Jan 2014
*Member mgeni
*Member asiye maarufu
*member underground
*Member mwenye post chache
*Member anayedharauriwa
*Member mnyonge
*Member mwenye trophy point kiduchu

KUTOKUAEPO KWENYE LIST HAIKUZUII KUSHIRIKI
...............................................................
Km una kigezo mPM Th Name akuadd
...............................................................
One love



Soma post #231
Ni muhimu sana

Lengo kuu la thread hii ni kuleta usawa Jf na kuwafanya makapuku wafurahie uwepo wao na sio kuigawa Jf........
Matusi hayaruhusiwi
Makapuku tuwe mfano wa kuigwa
Km wew una reply/thread/post zako jukwaa fulani no like,no reply, no quote,unaletewa dharau kibao & una trophy point kiduchu km maksi za hesabu........toroka uje
Hapa ndio mwake

Makapuku Chat Room
Mapenzi,udaku,mijadala,,elimu,swaga,birthday,ushauri,funny,politic,jokes,news,michezo, & kila kitu kuhusu life
......................................................
KILA MTU YUPO FREE KUCHAT !!
.......................................................
b2d252aa2a3636a1359f55c7558a1b10.jpg
03af99c5c24dc8d10f00d07e3fe5993f.jpg

.....................................................
Thread zote za Bitoz zipo hapa
Dongo kwa wazee. !!!
...........................................................

****Makapuku Chat Room*****
Khaaaa!! kumbe nami ni kapuku tu, daaah....
lkn kweli bhana mi kapuku tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom