Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Karibu mwenyekiti..... Leo nakuja mbweni kula samakiAsante kwa magazeti.
Karibu mwenyekiti..... Leo nakuja mbweni kula samakiAsante kwa magazeti.
Huu mji uko nchi ganiLeo katika Historia:
1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia.
Ana swali za kizushi dailyYe ameweka 10 zilizotisha labda Korea ni ya 12
Kitabu kina version kama 10,000 hiviiLeo katika Historia:
1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia.
Inaanzaje kuninyima amani kwa mfano?? Binamu haendi popote kule small hauz anaendaga kujifariji tu nikimkazia, na toka ajue kuwa chai anayopewa![]()
inavyopikwa ameongeza mapenzi kwa familia
View attachment 388492

Ndjamena huko1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli.
Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo.
Labda kwa MadibaHuu mji uko nchi gani
Leo katika Historia:
1933 - Biblia ya kwanza ya " Afrikaans Bible " yazinduliwa huko Blomfontein katika tamasha la Biblia.
Mi wanaijeria nawapendea majina yao1985 - Serikali ya Nigeria yapinduliwa na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi hiyo, Jenerali Ibrahim Babangida.
Hahaa.. Labda.Ye ameweka 10 zilizotisha labda Korea ni ya 12
1971 - Jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Chad lafeli.
Chad yailaumu Misri kupanga jaribio hilo.
Ujamaa nao miyeyusho tu1991 - Moldova yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
Ilikuwa ni muendelezo wa Nchi mbalimbali kujitoa ndani ya Ussr baada ya anguko la Ujamaa.
Steven keshiMi wanaijeria nawapendea majina yao
Ibrahim Babangida, Olusegun Obasanjo mdomoni yanavutia mnoo
Anameza mambo hapo