Mbavu zangu mimi6,Kuanika nguo-MinnesotaView attachment 388300ni marufuku sehemu yeyote kuanika nguo za ndani za mwanmke na za mwanaume kwenye kamba moja
Hahaha hii sasa hata sja pata details zake kwa nn iliekwa
Sasa sisi vibonge twende wapi kama ni hivyo...5, shera mbili za japaniView attachment 388303 1. Ni marufuku kuwa mnene japani, kwa mtu yeyote mwenye miaka 40 na zaid hutakiwi kuzidi kiuno cha nchi 32 na kwa wanawake kiuni kiszid nchi 36, na serikali za mtaa zenye watu wanene wengi hupigwa faini za kila mwezi
2. Japan ni lazima kuheshimu wakubwa ,kiasi kwamba kama una kaka yako amempenda girlfriend wako na ana nia ya dhati ya kumuoa , ilikuonesha una muheshimu lazima umwachie huyo mpenzi wako aolewe na kaka yako , hapo ni sheria ya kuheshimu wakubwa
Cc szczesny4, Ndoa na binamu yako-UtahView attachment 388304hurubusiwi kumuoa au kuolewa na binamu yako huko jimbo la Utah, na baada ya watu kupigania sana sheria iangaliwe upya , sheria ilipitiwa na kuruhusu mabinamu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea tuu ndio waweza kuona, kwa kuwa hao wana jitambua kwenye maamuzi yao
Weka pichaTatizo niko kazini mi Mwanahabari wa #Teamwekapicha#
Huku sasa ni kunyimana hakiKupeana Busu kwenye gari lilonalo tembea-ItalyView attachment 388284 ni kosa kupeana mabusu kwenye gari iliyo katika mwendo, whether mna endsha au mna endesgwa huko Italy na kuna faini kubwa tuu ya Euro karibu 415 kwa kifanya hivo, kuweni makini mkienda na wapenzi wenu huko Italy
Utah kazi wanayo.4, Ndoa na binamu yako-UtahView attachment 388304hurubusiwi kumuoa au kuolewa na binamu yako huko jimbo la Utah, na baada ya watu kupigania sana sheria iangaliwe upya , sheria ilipitiwa na kuruhusu mabinamu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea tuu ndio waweza kuona, kwa kuwa hao wana jitambua kwenye maamuzi yao
Wanawachunga mno jamani khaa7, wanawake kuendesha gari -Saudi ArabiaView attachment 388293Ni marufuku kwa mwana mke kuendesga gari saudi, na mwana mke akwa kwenye gari lazma awe na guardia(msimamizi) ambaye ni mwanaume, ni bora hata aendeshe mtoto lakin awe wa kiume na si mwanamke
Huko naskia hata maduka ya nguo za kike wanauza wana ume, na mwana mke hutoki bila guardian wako
Ilishawahi kutokea?3, Kufariki Bungeni-UingerezaView attachment 388306waheshimiwa wabunge huko uibgereza hawaruhusiwi kufariki ndani ya jengo la bunge, sababu hasa haijulikanj lakini inadaiwa kwao bunge ni mahala patukufu na ukifia hapo lazima msiba wako uwe wa kitaifa, na sasa ndio maana mbunge yyte akionesha dalili zozote zszo nzuri ana tolewa haraka na kupewa huduma ya Afya au akafie huko nje ikiwezekana
Asante Carenza a.k.a field Marshall...Jaman eee nawatakia weekend njema na Mungu awabariki wootee
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza jr aka field marshal
Adiouss
Amogoooou
Inamaana wakitaka kupigana busu itabidi gari isimame kwanza wafanye yao kisha gari iendelee na safariMbona wamewanyima watu uhuru wao
Hakika hapakufaiHuko sikanyagi.
Cc jimena2. Malipo ya chakula- DenmarkView attachment 388307sheria ya ulaji huko Denmark inamtaka mteja yeyote wa chakula kuto mlipa muuzaji mpaka pale (kwa hisia zake mwenyewe mlaji) atakapo ona ameshiba na ana uhakika hana haja ya kuendelea kula, yaan nna imagen hii sheria ingekuwepo kwetu Iringa huko hahaha
2. Ipo sheria inayo wataka wana nchi wa Denmark kuto endesha gari ikiwa mtoto amelala na inatakiwa dereva yeyote kuto ondoa gari kabla haja angalia kama kuna mtoto aliye lala
C u there thanks for ur decision to die with meTwenzetu tukafe kishujaa...kama wale waliojaribu kuvuka Wall ya Berlin wakatunguliwa...
HahahaNimeskia kwamba ni mabondia sana wale...mbona wana roho ngumu hivo??!
Kwahiyo wanataka za kike peke yake na za kiume peke yake6,Kuanika nguo-MinnesotaView attachment 388300ni marufuku sehemu yeyote kuanika nguo za ndani za mwanmke na za mwanaume kwenye kamba moja
Hahaha hii sasa hata sja pata details zake kwa nn iliekwa
HahahaHapo upo high way ya Siena to Milan, lazima upige busu, hata bams hamna