Islamic StateMbona wamewanyima watu uhuru wao
Huu sasa Umoja wa Kumpongeza Makufuli6,Kuanika nguo-MinnesotaView attachment 388300ni marufuku sehemu yeyote kuanika nguo za ndani za mwanmke na za mwanaume kwenye kamba moja
Hahaha hii sasa hata sja pata details zake kwa nn iliekwa
McuteView attachment 388225 Hiyooooo amenipa
Napenda Ile ratiba tuNdio unaukumbukaa![]()
Hata Dr hurusiwi kumzalisha mama mja mzito7, wanawake kuendesha gari -Saudi ArabiaView attachment 388293Ni marufuku kwa mwana mke kuendesga gari saudi, na mwana mke akwa kwenye gari lazma awe na guardia(msimamizi) ambaye ni mwanaume, ni bora hata aendeshe mtoto lakin awe wa kiume na si mwanamke
Huko naskia hata maduka ya nguo za kike wanauza wana ume, na mwana mke hutoki bila guardian wako

Hakuna kosa lolote Ni fix za dikteta uchwara
Labda atumie TOILET LAWS
![]()
![]()
![]()
![]()

Kumbe nawe unawajuaKabisa kabisa

1/Naunga mkono5, shera mbili za japaniView attachment 388303 1. Ni marufuku kuwa mnene japani, kwa mtu yeyote mwenye miaka 40 na zaid hutakiwi kuzidi kiuno cha nchi 32 na kwa wanawake kiuni kiszid nchi 36, na serikali za mtaa zenye watu wanene wengi hupigwa faini za kila mwezi
2. Japan ni lazima kuheshimu wakubwa ,kiasi kwamba kama una kaka yako amempenda girlfriend wako na ana nia ya dhati ya kumuoa , ilikuonesha una muheshimu lazima umwachie huyo mpenzi wako aolewe na kaka yako , hapo ni sheria ya kuheshimu wakubwa
Huko sikanyagi.10. Wana wake walio olewa huko Bolivia ni marufuku kunywa, mvinyo au pombe zaid ya glas moja View attachment 388275 ili kuendeleza ustaarabu na kuhakikisga wanawake walio olewa hawawi tricked na kina man4ongo wa huko, ni marufuku kumnywesha bia mke wa mtu zaid ya glass moja , sja jua waliangalia nn kueka sheria hii lakin
Si wajinyongee humohumo3, Kufariki Bungeni-UingerezaView attachment 388306waheshimiwa wabunge huko uibgereza hawaruhusiwi kufariki ndani ya jengo la bunge, sababu hasa haijulikanj lakini inadaiwa kwao bunge ni mahala patukufu na ukifia hapo lazima msiba wako uwe wa kitaifa, na sasa ndio maana mbunge yyte akionesha dalili zozote zszo nzuri ana tolewa haraka na kupewa huduma ya Afya au akafie huko nje ikiwezekana
R I P in advanceTwenzetu tukafe kishujaa...kama wale waliojaribu kuvuka Wall ya Berlin wakatunguliwa...
Miaka 89, sheria ya ndoa-Saudi ArabiaView attachment 388277 sheria ya ndoa haitaji umri wa mwana mke kuolewa huko Saudi Arabia, kwa hiyo mtoto wa kike Saudi anaeza olewa mda wowote ilimradi kaonesha dalili za kuvunja ungo, nadhan wanatumia njia za kitamaduni za toka kipindi hiko,
Mfano mwaka jana mahakama ilishndwa kumpa haki ya talaka mtoto mwenye miaka 8 aliye olewa na mzee mwenye miaka 55, kwani alitumia kigezo cha kupishana umri tuu
hana wazazi?