Hihihihiii....![]()
We unanchokoza!
Aaah! Ila nyumba ndogo bhanaa!!!
![]()
![]()
Nimeskia kwamba ni mabondia sana wale...mbona wana roho ngumu hivo??!Ladies wa Ke uwa wana piga waume wao
Kumbe kiboko yao ni Ali shababi tu.Hao ni nuks sana
Tatizo niko kazini mi Mwanahabari wa #Teamwekapicha#Mengine uishie kusikia tu.. Usiombe kuona..
Wataka kuona kifo cha mende weye..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

WALLZa jioni wakuuu
Wakat natafakari kuhususu polisi kuzuia maandamano ya UKUTA nikawa najiulza hvi ndo sheria zetu zmekaa kiajabi ajabu hvo!!?
Kosa kudai utawala wa sheria, Sasa hii kesi itaamuliwaje?
Hii sheria inatuhusu sana huku10. Wana wake walio olewa huko Bolivia ni marufuku kunywa, mvinyo au pombe zaid ya glas moja View attachment 388275 ili kuendeleza ustaarabu na kuhakikisga wanawake walio olewa hawawi tricked na kina man4ongo wa huko, ni marufuku kumnywesha bia mke wa mtu zaid ya glass moja , sja jua waliangalia nn kueka sheria hii lakin
9, sheria ya ndoa-Saudi ArabiaView attachment 388277 sheria ya ndoa haitaji umri wa mwana mke kuolewa huko Saudi Arabia, kwa hiyo mtoto wa kike Saudi anaeza olewa mda wowote ilimradi kaonesha dalili za kuvunja ungo, nadhan wanatumia njia za kitamaduni za toka kipindi hiko,
Mfano mwaka jana mahakama ilishndwa kumpa haki ya talaka mtoto mwenye miaka 8 aliye olewa na mzee mwenye miaka 55, kwani alitumia kigezo cha kupishana umri tuu
Hii ni kali sasa9, sheria ya ndoa-Saudi ArabiaView attachment 388277 sheria ya ndoa haitaji umri wa mwana mke kuolewa huko Saudi Arabia, kwa hiyo mtoto wa kike Saudi anaeza olewa mda wowote ilimradi kaonesha dalili za kuvunja ungo, nadhan wanatumia njia za kitamaduni za toka kipindi hiko,
Mfano mwaka jana mahakama ilishndwa kumpa haki ya talaka mtoto mwenye miaka 8 aliye olewa na mzee mwenye miaka 55, kwani alitumia kigezo cha kupishana umri tuu
Hapo upo high way ya Siena to Milan, lazima upige busu, hata bams hamnaKupeana Busu kwenye gari lilonalo tembea-ItalyView attachment 388284 ni kosa kupeana mabusu kwenye gari iliyo katika mwendo, whether mna endsha au mna endesgwa huko Italy na kuna faini kubwa tuu ya Euro karibu 415 kwa kifanya hivo, kuweni makini mkienda na wapenzi wenu huko Italy
Mbona wamewanyima watu uhuru waoKupeana Busu kwenye gari lilonalo tembea-ItalyView attachment 388284 ni kosa kupeana mabusu kwenye gari iliyo katika mwendo, whether mna endsha au mna endesgwa huko Italy na kuna faini kubwa tuu ya Euro karibu 415 kwa kifanya hivo, kuweni makini mkienda na wapenzi wenu huko Italy
Hakuna kosa lolote Ni fix za dikteta uchwaraKosa kudai utawala wa sheria, Sasa hii kesi itaamuliwaje?

Naona wanataka kukomesha u mani fongo...Arabuni, mana hiyo sheria ikiletwa huku sipati picha7, wanawake kuendesha gari -Saudi ArabiaView attachment 388293Ni marufuku kwa mwana mke kuendesga gari saudi, na mwana mke akwa kwenye gari lazma awe na guardia(msimamizi) ambaye ni mwanaume, ni bora hata aendeshe mtoto lakin awe wa kiume na si mwanamke
Huko naskia hata maduka ya nguo za kike wanauza wana ume, na mwana mke hutoki bila guardian wako
ROR (nna tatizo la R na L hapo nilimaanisha LOL)Nayafuta hayo maneno