1. Sheria ya Talaka-Ufilipino
View attachment 388308 ni kosa kisheria kuoena talaka baada ya kuwa mmefunga ndoa ya halali, huko ukisha oa umeoa serikali hai entertain kabsa masuala ya kuomba talaka na waka haina huduma hiyo, ni sehemu mbili tuu duniani hazofanyi hvo yaani Vaticani na Ufilipino, lakini wakati Vaticani wao Talaka inaweza tolewa lakin kwa process ndefu
Ufilipino kwa wakristo woote talaka haitolewi kwa namna yyte ile
Na kwa waislam inatolewa kwa sababu za msingi na kwa process ndefu sana mpaka ikamilike