Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kiukweli kuna wachezaji wana mikosi ...mwingine Griezman kapoteza final 3 mfululizo
........
Mkosi wa hali ya juu!! Inauma sana.

Evra nae anashikilia rekodi ya kupoteza Fainali 4 za Uefa.

2004 akiwa Monaco walifungwa na Porto ya Mourinho.

2009 - Man utd akifungwa na Barca.

2011 - Man Utd ikifungwa na Barca tena.

2015 - Juve ikifungwa na Barca.
 
Mkosi wa hali ya juu!! Inauma sana.

Evra nae anashikilia rekodi ya kupoteza Fainali 4 za Uefa.

2004 akiwa Monaco walifungwa na Porto ya Mourinho.

2009 - Man utd akifungwa na Barca.

2011 - Man Utd ikifungwa na Barca tena.

2015 - Juve ikifungwa na Barca.
Bonge la mkosi lakini ashukuru kawahi kubeba kwenye fainali 1 dhidi yaThe Blues
..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom