Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,078
What...!
What...!
Bas ilikula kwakeJamani...[emoji22][emoji22], halafu naskia alikuwa akiuogopa sana usafiri wa anga.
Oyeeee...Simba wa Afrika.Mugabe oyeee[emoji4]
Lazima asepe ht Yaya ToureYule Pep kaamua ku mmaliza kabsa
Kamba hukatikia pembamba!!Jamani...[emoji22][emoji22], halafu naskia alikuwa akiuogopa sana usafiri wa anga.
Na bonnyLazima asepe ht Yaya Toure
.......
Sio walikosea masharti ya MasonicKuna mtu aliwa Curse nadhani
Huyu si ndo yule babu wa Yanga mchawi ama...!
Oyeeee...Simba wa Afrika.
Joseph Stallin nae nuksi sana,alikuwa ana mustachi ndio maana alikuwa katili.4, Soviet Crimes
Makadirio ya vifo: 49 Million View attachment 387612baada ya mapinduxi ya oktba mwaka 1917, urusi ilikuja kuingia kwenye oja wa kisovieti, na jambo la kwanza lililo ikumba nchi hiyo kuanzia 1917 at least mpaka 1924,ilikuwa ni njaa kubwa, nchi ilitoka kwenye vita na baadhi ya maeneo vita iliendela , njaa ilikuwa kubwa na wakawepo watu wala watu (cannibalism ilikuwa ile ya kiwango cha juu) lakini baada ya. Machafuko madogo madogo hayo yana kadiriwa kuua watu milioni 19 tuu, Joseph Stallin pekee kuanzia mwaka 1924-1953,ana kadiriwa kusababisha vifo vya wa soviet milioni 30, kwani kwanza ilibidi achukue madaraka kwa nguvu, aliwaua maadui zake hata walio kuwa nje ya nchi, walio mgomea waliuawa sana, wengine walipelekwa kwenye labor camps kwaa ajilo ya kufanya kaz za mateso, inakadiriwa kwa kila miaka kumi aliyo ongoza Soviet ilipiga maendelo ya miaka hamsini kwa nchi ya kawaida, mfano mwaka 1931-37 watu waitwao wa kulaks takriban milioni 5 waliuwa huko Ukrain pekee, wakati zaid ya watu milioni 14. 5 waliuwa kwa miaka 7. Mingine, walio kuwa matajiri walifukuzwa nchini, au wali pelekwa labor camps( kwa ajili umya kujenga reli, barabara, mabomba ya mafuta, magereza na majengo mbali mbali.
Japo alisadia sana ushindi wa vita ya pili ya dunia, bwana Joseph Stallin alileta maendeleo ila yalipatikana kwa machozi , jasho na damu
Ni sangoma wa MoooooHuyu si ndo yule babu wa Yanga mchawi ama...!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc mussolin
Aksante sana Mukulu Kipa wa Arsenal.Wakui ahsanten sana
Nawakubali woote
Na nafurahi kuwaona nyooote mkiwa hapa
Ni mie Field Marshal
Keshoooo
Haha*NAJISIKIA NIMEBOREKA...SIJUI NIENDE KITUO CHA POLISI NITEREMSHE BENDERA ALAFU NITOKE MBIO.....*
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Huku tulikuwa nae mkazi wa Msoga.
Tema mate chiniHatusajili magarasa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Huyu dada inasemekana aliuawa kwa mambo ya blood Sacrificing like hakuwa na umuhimu tena katika music industry mambo ya Secret society hayo... tunarudi kule kule "Conspiracy theories" there you go.
Hassan DalaliAsante field Marshal