Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamaa alikuwa hana bahati kabisa aisee
Wanasema aliponzwa na namba 13 aliyopenda kuvaa katika maisha yake ya soka.

2002 - Bayer Leverkusen wanafungwa fainali ya Uefa na Real Madrid yeye akiwa kepten wa Leverkusen. Unakumbuka goli la Zizzou lile kali ndilo liliwaua.

2002 - Wanafungwa fainali ya Kombe la Dunia na Brazil.

2008 - Timu yake ya Chelsea wanafungwa fainali ya Uefa na Man Utd.

2008 - Ujerumani wanafungwa fainali na ya Euro na Spain, Ballack akiwa nahodha.
 
1472153257062.jpg
 
Itabidi tuchunguze kwa nini alikuwa anapenda sana hiyo no,pia fainali kama mbili hivi hakucheza ikiwepo ya kombe la Dunia, alikuwa na kadi
 
Wanasema aliponzwa na namba 13 aliyopenda kuvaa katika maisha yake ya soka.

2002 - Bayer Leverkusen wanafungwa fainali ya Uefa na Real Madrid yeye akiwa kepten wa Leverkusen. Unakumbuka goli la Zizzou lile kali ndilo liliwaua.

2002 - Wanafungwa fainali ya Kombe la Dunia na Brazil.

2008 - Timu yake ya Chelsea wanafungwa fainali ya Uefa na Man Utd.

2008 - Ujerumani wanafungwa fainali na ya Euro na Spain, Ballack akiwa nahodha.
1472153722383.jpg

Tatizo haambiliki
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom