Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mbwembwe tu zileNaogopa sio kwa mazoezi yale wanayofanya
Mbwembwe tu zileNaogopa sio kwa mazoezi yale wanayofanya
Tuko pamojaAhsante mzee wa nukuu.
Alikuwa na kashfa ya madini, hivyo akabip kujiizulu ili Bunge limbembeleze arudi madarakani, kumbe sivyo.Kisa kilikuwa ni nini
Alaa...hivi ni kweli?Aaliyah walimuua kabisa
Hakika mkuu.Asante mussolin na kesho ni maandalio ya Sabato
Back in the days!!View attachment 387503 Muda unakimbia sana!!!
Ndiyo habari zilizopoAlaa...hivi ni kweli?
Poa dadangu....umeshindaje leoNzuri...nambie
Nimeshinda salama pamoja na mizunguko ya hapa na pale, mambo yako sawa tu.Poa dadangu....umeshindaje leo