Makapuku Forum

Walimu wa zamani walikuwa na busara sana na hekima sijui wa leo...ila nadhani bado wapo.
 
R.I.P
 
4, Soviet Crimes
Makadirio ya vifo: 49 Million baada ya mapinduxi ya oktba mwaka 1917, urusi ilikuja kuingia kwenye oja wa kisovieti, na jambo la kwanza lililo ikumba nchi hiyo kuanzia 1917 at least mpaka 1924,ilikuwa ni njaa kubwa, nchi ilitoka kwenye vita na baadhi ya maeneo vita iliendela , njaa ilikuwa kubwa na wakawepo watu wala watu (cannibalism ilikuwa ile ya kiwango cha juu) lakini baada ya. Machafuko madogo madogo hayo yana kadiriwa kuua watu milioni 19 tuu, Joseph Stallin pekee kuanzia mwaka 1924-1953,ana kadiriwa kusababisha vifo vya wa soviet milioni 30, kwani kwanza ilibidi achukue madaraka kwa nguvu, aliwaua maadui zake hata walio kuwa nje ya nchi, walio mgomea waliuawa sana, wengine walipelekwa kwenye labor camps kwaa ajilo ya kufanya kaz za mateso, inakadiriwa kwa kila miaka kumi aliyo ongoza Soviet ilipiga maendelo ya miaka hamsini kwa nchi ya kawaida, mfano mwaka 1931-37 watu waitwao wa kulaks takriban milioni 5 waliuwa huko Ukrain pekee, wakati zaid ya watu milioni 14. 5 waliuwa kwa miaka 7. Mingine, walio kuwa matajiri walifukuzwa nchini, au wali pelekwa labor camps( kwa ajili umya kujenga reli, barabara, mabomba ya mafuta, magereza na majengo mbali mbali.

Japo alisadia sana ushindi wa vita ya pili ya dunia, bwana Joseph Stallin alileta maendeleo ila yalipatikana kwa machozi , jasho na damu
 
4, Mongol Conquests
Makadirio ya vifo: 60 Million kama humjui mtu ana itwa Ghengis Khan, lazma una shda wewe!!
Huyu ndie aliye anzisha Ufakme wa Mongolia, na alifanikiwa kupiga na kuiteka asilimia 16%, ya dunia huko Mashariki ya mbali na Chinana hii ndo ramani inavo oneshwa kwani aliteka kutoka ufalme wa ,Koryo, Jin, Silla, Baekje mpaka bara hindi , na japo wajukui zake walitaka wafike ulaya ilishindikana, vita hzi za kujitanua zlianza miaka ya 1130- 1270 au 1300
Lakin hali haikuwa mbaya sana kwani wanasema ,maskini walisamehewa sana kodi na uvumilivu wa kidini ulikiwa mkubwa sanaa kipindi hiki cha kina Ghengis na Ghtu ghutu khan
 
Hahaha
 

The Killer Dictator
...........
 
1, European Colonization of the Americas
Makadirio ya vifo: 100 Million baada tu ya bwana Christopher Columbus kuligundua bara amerika mwaka 1492, huo ndo ulikiwa mwanzo wa mabalaa mengii yaliyo lipata bara hilo, na kikubwa lilicho sababisha watu kufa sana ilikuwa ni wahindi wekundu walikiwa wana Ommunity ndogo sanaa, kila gonjwa walilo letewa na wazungu halikiwaacha salama, pamoja na vita, na matyzo mdogo madogo ila magonjwa ya ajabu ajabu yaliyo pelejwa nawazungu, wahindi wekundu wengi hawaku ya himili, so wana historia wana sema karibu asilimia 80%,ya wa amerika asilia, walikufa hasa karne ya 16,yoote, kutokana na magonjwa hayo na immunity yao ndogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…