Makapuku Forum

10, Atlantic Slave Trade- vifo vya watu milioni 15
Hatarii kama ulikuwa una soma histori nadhani unajua hili, kuwa karne ya 16-17,watu walichukuliwa kutoka afrika na kupelejwa marekani kuwa watumwa baada ya wahindi wekundu kuwa hawana nguvu, wazungu walitaka sana hela , so watu wa afrika walikuwa wana faa zaid kwa kaz hzo za shuruti
Hapo juu nimeonesha meli iliyp kuwa iki chukua watumwa meli zilzo takiwa kichukua watu 100 zilibeba watumwa zaid ya 400, hvo wengi walifia baharini , na wengi walikufa kwa kukosa hewa na kuumwa magonjwa ya kuambukiza ina kadiriwa kuwa katika watumwa kumi walio panda meli hiyo watumwa 4 walifia njia hawakifika Amerika
 
9, Vita ya mwisho ya Yuan & kuundwa kwa Ming Dynasty
Makadirio ya vifo: 30 Million ukok wa kifalme wa Yuan ulianzishwa na Khuban Khan mjukuu wa Ghengis Khan mwaka 1260, na Yuan maana ake "iliyo kuu na iliyo tukuka" japo ukoo huo hata hauku tukuka, the issue is ulikaa milenia moja tuu kwani mwaka 1380 ufalme uligawanyika , na kukawa na vita, njaa na magonhwa hasa tauni, pia watu wa kawaida wali uana sana kipindi hiko na wana historia wana kiita kipindi hiki ni cha “one of the greatest eras of orderly government and social stability in human history.”
 
Jamani...
, halafu naskia alikuwa akiuogopa sana usafiri wa anga.
 
Kuna mtu aliwa Curse nadhani
 
8, An Lushan Rebellion
makadirio ya vifo: 36 Million sasa karibu miaka 500,kabla ya ufalme wa Yuan , ulikuepo ufalme wa Tang, sasa An Lushan alikiwa ni jenerali ambaye alitaka kupindua serikali ili awe mfalme yeye , na kwa miaka karibu 12 yaan mwaka 755-763 AD, ilikuwa ni full vita hapo na watu walio kufa wana zidi milioni 30 , kutokea hapo ufalme Tang ndio ukawa umeanguka moja kwa moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…