Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hiyo njemba imeshiba kande sio bure
.......
Hiyo njemba imeshiba kande sio bure
KabsaaaCha kufurahisha ....wengine wapya wakali na wajanja km Bitterpie wanachukua nafasi zao
Sasa ht kuwakumbuka kazi
![]()
![]()
![]()
............
Wata-mbande sasa hiviHiyo njemba imeshiba kande sio bure
.......
Aliyeturoga alishakufaHahaha
Sisi alo turoga ata kuwa shetani mwenyewe
Dikteta yupo vizuri kichwani inaonyesha ni msomi & mpekenyuzi na "leo ktk historia " anaandika kijanja sanaKabsaaa
Mi uwa namkubali bwana dikteta, kwenye polifix yuko fresh, sku nyngne had MMU una mkuta
Yet haja wahi kuonekana aki tu diss ndugu zake hapa, yaan fureshiii
Hivi yupo??Hahaha
Sisi alo turoga ata kuwa shetani mwenyewe
Hawa ni watoto wa dingi mmoko??!
Bitoz huyo katika ubora wakeCha kufurahisha ....wengine wapya wakali na wajanja km Bitterpie wanachukua nafasi zao
Sasa ht kuwakumbuka kazi
![]()
![]()
![]()
............
Hata mi namkubali mbayaKabsaaa
Mi uwa namkubali bwana dikteta, kwenye polifix yuko fresh, sku nyngne had MMU una mkuta
Yet haja wahi kuonekana aki tu diss ndugu zake hapa, yaan fureshiii
Weka pichaWata-mbande sasa hivi
SijajuaHawa ni watoto wa dingi mmoko??!
Akae tu songeaJamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua...
![]()
![]()
![]()
.........