shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndiyo sababu hiyoNilikuwa najiuliza Kobe Bryant kwanini hupenda kuvaa jezi namba 24 na wakati mwingine jezi namba 8 wakati akicheza Los Angeles Lakers.
Kumbe ni tarehe 24 mwezi wa 8 ni siku yake huko jijini California.