Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Sijajua infact simjui vzuri ntamchunguza huyoKwahiyo Thadeo nae itakuwa alikuwa mu Armenia au?
Sijajua infact simjui vzuri ntamchunguza huyoKwahiyo Thadeo nae itakuwa alikuwa mu Armenia au?
Ntaleta kumi za wachawi sku moja Nijeria haikosiNaskia uchawi uliokomaa wanaupataga Naijeria....
Thanks for supportOndoa shaka...
Hahahaa hawawezi koda wale wamebobeaaNtaleta kumi za wachawi sku moja Nijeria haikosi
Briz fongo atakuwa ka mchukuaAsante mkwe, Ankali wangu umemficha wapi
Wengi huko ni wahuni tuuu hahaha ata sjui uwa wana sali nn sasaHawa nao pamoja na kushika dini wanawaiga wanaijeria sasa.. kazi yao ni ku hack online, scammers, wezi wa mitandaoni.
Si wanawaza UKUTA tuNasikia Kuna tukio la ujambazi limefanyika mbagara kwenye bank ya crdb, askari wawili wameuwawa hapo hapo
Kwa hyo uma watupia baraka tuuBasi tu...![]()


Mweer!! Na mazoez yote yale kulinda benki tuu kunewashindaNasikia Kuna tukio la ujambazi limefanyika mbagara kwenye bank ya crdb, askari wawili wameuwawa hapo hapo
Wamemuweka Yesu ndo mana mewabarikiKwa hyo uma watupia baraka tuu
Hilo jina mweeeee refuuuuu...asante kwa top 10![]()
Naza nchi zinazoongoza kwa uongo, bongo haikosiNtaleta kumi za wachawi sku moja Nijeria haikosi
Asante sana kwa nukuuMpaka hapo Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa UKUTA nawatakieni jioni njema
Asante sana AnkaliAsante sana kwa nukuu