Makapuku Forum

Makapuku Forum

4. FIJIView attachment 386585 Fiji , ni watu wa chche sana wana ijua nchi hii, lakini iko bara ocenia jiran na Austrlia na Newzealand wao wako mbali na dunia sasa imani zilifikaje huko!!? Kuna wa mishenari wa ki methodist walipeleka ukristo huko na watu wengi wa huko na dini zinazo fuatia kwa karibu ni , Assemblies of God, wa Sabato (SDA), na wakatoliki(RC), Asilimia 93 ya watu wa Fiji wana shiriki mambo ya dini kikamilifu
Seriously hii nchi ndio naifahamu leo! nadhani ni kisiwa
 
4. FIJIView attachment 386585 Fiji , ni watu wa chche sana wana ijua nchi hii, lakini iko bara ocenia jiran na Austrlia na Newzealand wao wako mbali na dunia sasa imani zilifikaje huko!!? Kuna wa mishenari wa ki methodist walipeleka ukristo huko na watu wengi wa huko na dini zinazo fuatia kwa karibu ni , Assemblies of God, wa Sabato (SDA), na wakatoliki(RC), Asilimia 93 ya watu wa Fiji wana shiriki mambo ya dini kikamilifu
1471978188162.jpg
1471978192228.jpg
1471978196116.jpg

Nchi ndogo km mkoa wa Dar
.......
 
3, Armenia
1471977677067.jpg
hii ni moja ya nchi zilizo rudi kwa kasi kwenye masuala ya dini mara baada ya kuvunjika kwa Imoja wa nchi za ki soviet (USSR) miaka ya 1990 huko, historia inasema ufalne wa Armenia, ulikuwa ndo nchi ya kwanza kujutangaza kama nchi ya kirsito mnamo mwaka 301 AD na historia inasema kuwa kanisa la Armenia likianzishwa na Thadeo ba Batholomeo ambao walikuwa ni wanafunzi wa Yesu, watu wana dai kwanza karbu asilimia 93 ni wanadini wazuri, pia wana sema ukiona watu kama waislam au wahindu ni wahamiaj tuu
 
2.Nigeria
1471978582423.jpg
nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,

Wa naija nyie woote mna wajua sina haja ya ku waongelea sana
 
2.NigeriaView attachment 386595nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,

Naskia uchawi uliokomaa wanaupataga Naijeria....
 
1.Ghana
1471978991083.jpg
asilimia 71,ya wa Ghana ni wa kristo akar 17,ni waislam
Na wananchi wa huko wanaishi kwa amani na inasemekana wao dini huwasaodia kuwa watulivu , asilimia 96% wana shiriki kikamilifu mambo ya dini akati asilimia 2 tuu ndo wana dai hawana tyme na dini , asilimia 2,nyingne wana fanya nusu nusu
 
3, ArmeniaView attachment 386588 hii ni moja ya nchi zilizo rudi kwa kasi kwenye masuala ya dini mara baada ya kuvunjika kwa Imoja wa nchi za ki soviet (USSR) miaka ya 1990 huko, historia inasema ufalne wa Armenia, ulikuwa ndo nchi ya kwanza kujutangaza kama nchi ya kirsito mnamo mwaka 301 AD na historia inasema kuwa kanisa la Armenia likianzishwa na Thadeo ba Batholomeo ambao walikuwa ni wanafunzi wa Yesu, watu wana dai kwanza karbu asilimia 93 ni wanadini wazuri, pia wana sema ukiona watu kama waislam au wahindu ni wahamiaj tuu
1471979174434.jpg
1471979179704.jpg
1471979185303.jpg
r
Batholomeo
..........
 
2.NigeriaView attachment 386595nilipo leta list yangu wakati wakristo wako asilimia 50% na waislam asilimia 48% ni nchi ambayo inadhaniwa pia kuwa na imani za kichawi sana kulko zote dunian lakin ndo hvo , wananchi wake asilimia karbu 93 wana jishughulisha kikamilifu na masuala ya kidini,

Wa naija nyie woote mna wajua sina haja ya ku waongelea sana
1471979544302.jpg
1471979550054.jpg
1471979555514.jpg

Full Ndumba
.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom