HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Peterchoka... Njoo uwaone wake zako huku...
Peterchoka... Njoo uwaone wake zako huku...
Mapito tu. People for peace
sijambo, shikamoo mpz wangu?
![]()
Marahaba..... Shikamoo na wewe

Hivi yule hawara yako kakuacha??kwangu mimi nakudediketia Fool again wa WESTLIFE HARAFU
Nakuangalia tu![]()
Siku yako inaendaje?
Sikuelewimmmnnhh!!!
wacha waongee..shauri zao..*2Anapenda couple yetu huyooo hadi jina kaiga
Hiyo Al inamaanisha nini?
& aliyequote hii ni KIBIBI CHIZIOoh OK. Basi atakuwa ni punguani.
wewe ndiye hawara uliyenisalitiHivi yule hawara yako kakuacha??
Unajua kujifarijistart again....
loading....100% succesed.
weeee, usimuuzie mrembo wangu uogaNakuangalia tu
Hiyo Al sawasawa na The kama sijakoseaIna maana nyingi inategemea na sentensi au neno lililo mbele yake au nyuma yake au kama Al yenyewe ni ya mwanzo.
Unamtafutaeee& aliyequote hii ni KIBIBI CHIZI
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Jina lako lina maana gani bibi? Naona kama akili zako hazitofautiani na faiza mama Sasha.Ooh OK. Basi atakuwa ni punguani.
Nshamuona tayari, itakuwa anahitaji mchango wa 'likes' zetu.Yupo huko mbele.. Ana roho ngumu uyo