Ni gudMi niko poa sanaaa.... Habari ya kuchunga moo?

...anyway mwingine ni mwenzao Louise Nurding ( hakuwa ndugu). Kikundi hiki kilifanikiwa kimataifa kuuza nakala milioni kumi Duniani. Mwaka 1995 Louise alijitoa ( akwendree good for nothing
) akawa ni muimbaji wa kujitegemea. Kelle walimtoa kwa muda kikundini na hao nduguze kutokana na sababu ambazo waliona zingeathiri undugu wao (hawajazitaja
), Ila waliobaki waliendeleza kikundi kama kawaida..wakawa ni wasanii wa kike waliowatoa machungu waingereza baada ya kikundi kingine cha huko Marekani kilichotamba kwa jina la "Envogue". 1993 Album yao ya Always and forever ilishika namba 2 kwenye UK Album Chart na ikaenda mara 4 kama Platinamu. Mwaka 1997 kibao chao cha "I wanna be the onl one" ( Nitakiweka) kilishika namba 1 kwenye Uk single Chart, wakajipatia Mobo Award. Pia walijipatia Brit Award 7. Kwa ujumla walifanikiwa kuingia hadi 15 top 20 hits kati ya mwaka 1993 na 1999 na ngoma yao ya "Stay". Oh baby i 1994, "Someday" 1996, na "don't you love me" 1997. Kikundi hiki kilijipanga tena na mashambulizi mwaka 2013 na bado wanaendelea kutumbuiza kwa baadhi ya matamasha. Sio kwa sauti hizi hawa wadada kha wanaimba hatare 

. Nawaletea kibao chao cha "I wanna be the only one" walichomshirikisha Bebe Winans ( Aliokoka) na kungine cha "Angel of mine"
HahahahaSubiri UKUTA uandamane na ng'ombe wako
![]()
![]()
![]()
...............
Itabidi mtangulize tu ng'ombe maana kitanuka mbayaHahahaha
Mimi nasubiri tuu hiyo tarehe moja
Hawajatupa ratiba tuta andamanaje lakn
Kwa hiyo Kelle alirud tena!!?Eternal ni kikundi cha waimbaji wa kike huko Uingereza wanaoimba nyimbo miondoko ya R&B, lilianzishwa mwaka 1992, likiwa na wanadada ndugu wawili Easther na Vernie Bennet, pia Kelle Bryan huyu sijaelewa alikuwa na undugu nao kivipi??...anyway mwingine ni mwenzao Louise Nurding ( hakuwa ndugu). Kikundi hiki kilifanikiwa kimataifa kuuza nakala milioni kumi Duniani. Mwaka 1995 Louise alijitoa ( akwendree good for nothing
) akawa ni muimbaji wa kujitegemea. Kelle walimtoa kwa muda kikundini na hao nduguze kutokana na sababu ambazo waliona zingeathiri undugu wao (hawajazitaja
), Ila waliobaki waliendeleza kikundi kama kawaida..wakawa ni wasanii wa kike waliowatoa machungu waingereza baada ya kikundi kingine cha huko Marekani kilichotamba kwa jina la "Envogue". 1993 Album yao ya Always and forever ilishika namba 2 kwenye UK Album Chart na ikaenda mara 4 kama Platinamu. Mwaka 1997 kibao chao cha "I wanna be the onl one" ( Nitakiweka) kilishika namba 1 kwenye Uk single Chart, wakajipatia Mobo Award. Pia walijipatia Brit Award 7. Kwa ujumla walifanikiwa kuingia hadi 15 top 20 hits kati ya mwaka 1993 na 1999 na ngoma yao ya "Stay". Oh baby i 1994, "Someday" 1996, na "don't you love me" 1997. Kikundi hiki kilijipanga tena na mashambulizi mwaka 2013 na bado wanaendelea kutumbuiza kwa baadhi ya matamasha. Sio kwa sauti hizi hawa wadada kha wanaimba hatare
. Nawaletea kibao chao cha "I wanna be the only one" walichomshirikisha Bebe Winans ( Aliokoka) na kungine cha "Angel of mine"View attachment 385345View attachment 385346View attachment 385347View attachment 385348View attachment 385349View attachment 385350
Walimrudisha badae naona.Kwa hiyo Kelle alirud tena!!?
Mi nawaelewa sanaaaaEternal ni kikundi cha waimbaji wa kike huko Uingereza wanaoimba nyimbo miondoko ya R&B, lilianzishwa mwaka 1992, likiwa na wanadada ndugu wawili Easther na Vernie Bennet, pia Kelle Bryan huyu sijaelewa alikuwa na undugu nao kivipi??...anyway mwingine ni mwenzao Louise Nurding ( hakuwa ndugu). Kikundi hiki kilifanikiwa kimataifa kuuza nakala milioni kumi Duniani. Mwaka 1995 Louise alijitoa ( akwendree good for nothing
) akawa ni muimbaji wa kujitegemea. Kelle walimtoa kwa muda kikundini na hao nduguze kutokana na sababu ambazo waliona zingeathiri undugu wao (hawajazitaja
), Ila waliobaki waliendeleza kikundi kama kawaida..wakawa ni wasanii wa kike waliowatoa machungu waingereza baada ya kikundi kingine cha huko Marekani kilichotamba kwa jina la "Envogue". 1993 Album yao ya Always and forever ilishika namba 2 kwenye UK Album Chart na ikaenda mara 4 kama Platinamu. Mwaka 1997 kibao chao cha "I wanna be the onl one" ( Nitakiweka) kilishika namba 1 kwenye Uk single Chart, wakajipatia Mobo Award. Pia walijipatia Brit Award 7. Kwa ujumla walifanikiwa kuingia hadi 15 top 20 hits kati ya mwaka 1993 na 1999 na ngoma yao ya "Stay". Oh baby i 1994, "Someday" 1996, na "don't you love me" 1997. Kikundi hiki kilijipanga tena na mashambulizi mwaka 2013 na bado wanaendelea kutumbuiza kwa baadhi ya matamasha. Sio kwa sauti hizi hawa wadada kha wanaimba hatare
. Nawaletea kibao chao cha "I wanna be the only one" walichomshirikisha Bebe Winans ( Aliokoka) na kungine cha "Angel of mine"View attachment 385345View attachment 385346View attachment 385347View attachment 385348View attachment 385349View attachment 385350
Eternal Feat Bebe Winans I Wanna Be The Only O…:

Moyes kimeo
Wako poa sana hao..naomba nisaidie mu dear kuweka Angel of mine...huku unagoma.Mi nawaelewa sanaaaa
Ni moja kati ya makundi ya miziki ambayo yalitokea kunivutia japo sikuwa najua kama wao ni ndugu
HahahhaItabidi mtangulize tu ng'ombe maana kitanuka mbaya
![]()
![]()
![]()
.............