Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
La Mujer de mi Vida
My favourate nliipenda sana hii
Hii nayo ilionyeshwa kitambo sana mi niliipenda zaidi ile Larevenge
La Mujer de mi Vida
My favourate nliipenda sana hii
Sku hiz inaonekana hamna tamthiliya nzuri kama hzoMi mwenyewe pia sikuwa naelewa kitu zaidi ya kukariri ile beach na vile vinguo vyao
Yeah...basi tena
Umeingia kwenye trap mwenyeweAaah
Naona ka hali kame badilika sas
Akat mashart hayo hayakuepo
Hiyo safari itanisaidia sana sio siri...Aaah
He wasnt gud for u hata hvo
He had to go any way
Pole lakin, i hope safari kama hizo ndo zna heal the pains
The revenge niliangalia nikiwa mbeya but sku enjoy sana nkiwa naangalia nusu nusuHii nayo ilionyeshwa kitambo sana mi niliipenda zaidi ile Larevenge
I' ll mek sure it do u goudHiyo safari itanisaidia sana sio siri...
Mi bado hakujanistuaHahaha
Kwanza walisema mtera hakuwashtui nawashangaa now
Wanasema eti ukiona mtu anachapia sana atakuwa either amekula kiporo au amegeuzaHahaha
Mwenzio kuchapia ni ugonjwa wa kudumu

Let's do it.I' ll mek sure it do u goud
Pole.....Mama weee!!!? haya kila la kheri we mkaka...Good bye my lover, good bye my friend..you have been the one...you have been the one for me. But i guess not anymore![]()

HahahaWanasema eti ukiona mtu anachapia sana atakuwa either amekula kiporo au amegeuza![]()
Wewe ni mtu mzuri hivyo hakijaharibika kitu![]()
Pole
Quigley hakuwa mtu mzuri