Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Silali tena...bado sijamalizana na watu humuPoa gud nyt

Sio nyie ni yeyeKisa mtera...nyie nanyi!!
Iam happy for my cousinNashangaa...!!
Hahahahaha wajinga ndio waliwaoSuper star alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe wakaamua kumfuata mwenye nyumba wakamuombe msamaha. Walipogonga mlango akatoka mbaba mmoja;
MBABA: karibuni
SUPASTA: Samahani sie tumehamia karibuni hapo nyumba ya pili, mwanetu kavunja kioo chako kwa bahati mbaya, tumekuja kuomba msamaha na kuona kama tunaweza kutengeneza
MBABA: Karibuni kwenye kiti niwahadithie kitu. Kwanza mimi nawashukuru nyinyi. Mimi ni ZIMWI nilikuwa nimefungiwa kwa zaidi ya miaka 200 kwenye kichupa kilikuwa kwenye kile chumba ambacho dirisha limevunjwa, chupa nayo imevunjika nami nimekuwa huru, kwa hiyo kwa shukurani ombeni chochote mtakacho nitawapa
SUPASTAA:Mi naomba niwe bilionea mpaka nife
MBABA: Hilo jambo dogo sana kwangu, umepata na kesho utaamka tajiri
MKE WA SUPASTA: Mi nataka niwe na nyumba kila nchi duniani na niwe na biashara Dubai na China na HongKong
MBABA:Umepata kuanzia kesho hayo ni yako. Mimi nawashukuru kwa uhuru wangu lakini nina ombi dogo.
SUPASTAA: Sema tu
MBABA: Mi naomba nilale na mkeo leo tu, unajua kifungo nilichofungwa kilinizuia kila kitu. Asubuhi ikifika hamtaniona tena, itakuwa siri yetu
Supasta na mkewe wakajadili, wakaona utajiri waliopata ni mkubwa sana hilo jambo ni dogo wakakubali sharti. Mke akalala kwa Mbaba mpaka asubuhi. Wakati mke akijitayarisha kurudi kwake Mbaba akakohoa kidogo;
MBABA: We una miaka mingapi na mumeo ana miaka mingapi??
MKE: Mume wangu 32 na mimi 30
MBABA: Sasa nyinyi wakubwa wazima mpaka leo mnaamini stori za MAZIMWI?
HahahaSilali tena...bado sijamalizana na watu humu
Sikuiona hii humiliation ya hadharani...I am officially Done with huyu Quigley....i am a free soul now....Hakika ninampenda123 kwa roho yangu yooote

.HahahaKisa mtera...nyie nanyi!!
HahahahaSuper star alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe wakaamua kumfuata mwenye nyumba wakamuombe msamaha. Walipogonga mlango akatoka mbaba mmoja;
MBABA: karibuni
SUPASTA: Samahani sie tumehamia karibuni hapo nyumba ya pili, mwanetu kavunja kioo chako kwa bahati mbaya, tumekuja kuomba msamaha na kuona kama tunaweza kutengeneza
MBABA: Karibuni kwenye kiti niwahadithie kitu. Kwanza mimi nawashukuru nyinyi. Mimi ni ZIMWI nilikuwa nimefungiwa kwa zaidi ya miaka 200 kwenye kichupa kilikuwa kwenye kile chumba ambacho dirisha limevunjwa, chupa nayo imevunjika nami nimekuwa huru, kwa hiyo kwa shukurani ombeni chochote mtakacho nitawapa
SUPASTAA:Mi naomba niwe bilionea mpaka nife
MBABA: Hilo jambo dogo sana kwangu, umepata na kesho utaamka tajiri
MKE WA SUPASTA: Mi nataka niwe na nyumba kila nchi duniani na niwe na biashara Dubai na China na HongKong
MBABA:Umepata kuanzia kesho hayo ni yako. Mimi nawashukuru kwa uhuru wangu lakini nina ombi dogo.
SUPASTAA: Sema tu
MBABA: Mi naomba nilale na mkeo leo tu, unajua kifungo nilichofungwa kilinizuia kila kitu. Asubuhi ikifika hamtaniona tena, itakuwa siri yetu
Supasta na mkewe wakajadili, wakaona utajiri waliopata ni mkubwa sana hilo jambo ni dogo wakakubali sharti. Mke akalala kwa Mbaba mpaka asubuhi. Wakati mke akijitayarisha kurudi kwake Mbaba akakohoa kidogo;
MBABA: We una miaka mingapi na mumeo ana miaka mingapi??
MKE: Mume wangu 32 na mimi 30
MBABA: Sasa nyinyi wakubwa wazima mpaka leo mnaamini stori za MAZIMWI?
HahahaNdio binamu and iam happy for u.
Halafu mbona unachapia sana leo shida ni nini??
Mama weee!!!? haya kila la kheri we mkaka...Good bye my lover, good bye my friend..you have been the one...you have been the one for me. But i guess not anymore![]()
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana, na mpenzi 123 atakuwa amejifungua mtoto wetu mtarajiwa ,( jimena)

Sikuiona hii humiliation ya hadharani...I am officially Done with huyu Quigley....i am a free soul now....![]()
![]()
.
Mtera imezua majanga hadi nimeachika tayari...kamrudia 123 diiiiiiLakin ulinruhusu kiroho safi, tofaut na unavo sema now
Mama weee!!!? haya kila la kheri we mkaka...Good bye my lover, good bye my friend..you have been the one...you have been the one for me. But i guess not anymore![]()

Yamenikirihisha nimeamka ghaflaWe si umelala wewe![]()
AaahMtera imezua majanga hadi nimeachika tayari...kamrudia 123 diiiiii
Nshamruhusu akwende kuleee....Huu mchezo hauhitaji hasira
Mi mwenyewe pia sikuwa naelewa kitu zaidi ya kukariri ile beach na vile vinguo vyaoHhaaa
Nlikuww sjui