Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Itakuwa raha sanaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana, na mpenzi 123 atakuwa amejifungua mtoto wetu mtarajiwa ,( jimena)
Itakuwa raha sanaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana, na mpenzi 123 atakuwa amejifungua mtoto wetu mtarajiwa ,( jimena)
Sijakataza na sitakataza,Lakin ulinruhusu kiroho safi, tofaut na unavo sema now
Sawa...i am officially single, nenda kwa mkeo 123..Hskika, kwanza mtalaka hatongozwi, kuanzia sasa namfukuza sweetipie, na nyumba na gari namnyang'anya, narudisha mapenzi kwa mpenzi wangu niliye mfungua kifuniko.
Unaonaje tu arrange tour ya ngorongoro hadi serengeti wewe pamoja na mmeo briz!![]()



Weeeee!!! haipo hiyo...123 analijua hilo, na hata sasa nimempa taarifa kuwa leo ntaenda kupeti mimbake ndo safaru ya kimojaaa kwa mpenzi wangu
We si umelala weweSawa...i am officially single, nenda kwa mkeo 123..![]()

Nashangaa...!!Haaa
Mbona mmeanza vitisho tena!!
Kisa mtera...nyie nanyi!!Sio vitisho ni MAAAMUZI MAGUMU
HhaaaTatizo ya zamani sana mi natamani kuiona tena
Ndio binamu and iam happy for u.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umetoa ruhusa mwenyewe lakin binami
Nimerudi silali ng'oNawe pia
AaahSijakataza na sitakataza,
Naanzaje sasa kukukataza kwenda sehemu kama mtera kwa mfano???
YeeeesSawa...i am officially single, nenda kwa mkeo 123..![]()
Akuu....mimi sio mwizi ooh sio mwizi....hata Spider aliimba hivyo...Nawe unasali ni mwizi wa binamu wa jimena![]()
![]()
![]()
![]()
.Huu mchezo hauhitaji hasiraWeeeee!!! haipo hiyo...
We nae...unagongelea misumari kabisaMwambie huyo
HahaaaNashangaa...!!