Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Twisted umegoma kupakuliwa...Twisted usikosekane tafadhali
Twisted umegoma kupakuliwa...Twisted usikosekane tafadhali
Asante sana na barikiwa sanaMlikuwa nami Sweetie pie...kwa hisani kuubwa ya JF kutugomea jana na leo kidogo. Nawatakieni weekend njema na burudani njema. Nawapenda wote. Lots of love
xx
Aaah wapi.......Inabidi usali sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na kweli mkuuHaahaa, ahasante sana bro.
Magufuli wetu ndiyo huyu hatuna ujanja.
Jirani Shululu...umeshindaje leo?Nipo na bitoz,mussolin, jimena na sweetiepie tu
Hajaonekana toka majuzi jamaniUme mmis briz!!
Thanks Swt P gud songzMlikuwa nami Sweetie pie...kwa hisani kuubwa ya JF kutugomea jana na leo kidogo. Nawatakieni weekend njema na burudani njema. Nawapenda wote. Lots of love
xx
Hapo umefanya uamuzi wa busaraView attachment 384883
Hii ligi uchwara inaboa....ngoja niachane nayo hadi mpira uoshe maana mshindi ni km keshajulikana
...........
AnhaaaNi mtanashati sana yule mkaka...anapenda sana nguo nyeupe
Niko poa kabisa jirani yangu sweetiepieJirani Shululu...umeshindaje leo?
NakuaminiaHuo wimbo una hisia kali sana huo...naukubali sana
Sasa tuweke appointment basiHaahaa kabisa hata mimi naona.
HaaaaAfadhali umerudi, nimesumbuliwa sana, huonekani cm haipatikani basi shida tu, nikamwambia ondoa shaka
HahahaNdio nimeshabisha sasa
AaahHajaonekana toka majuzi jamani
Hahaha....Haaaaa
Mambo mapya haya
Bonge ya wimbo nmependa pale alpo.......