Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Yule mzee ni shida, sasa hivi anatumika na Manji kupima upepo jangwani, watu wasivyoelewa wanamlaumu yule mzee, kumbe ni dili lake na Manji

Yule mzee ni shida, sasa hivi anatumika na Manji kupima upepo jangwani, watu wasivyoelewa wanamlaumu yule mzee, kumbe ni dili lake na Manji

Mam kipnd kile ilikuwa sawa sku hiz uwe makiniSasa tuweke appointment basi
That's my sweet cousinHahahahaa
We subiri
Mwaka 2500 ntakuwa singapore huko
Inabidi kukomaa tuHaahaa, ahasante sana bro.
Magufuli wetu ndiyo huyu hatuna ujanja.
Unaitwa "How deep is your love"Aliimba kwa hisia kweli
Waitwaje huu!!?
Asante sana sweetiepieMlikuwa nami Sweetie pie...kwa hisani kuubwa ya JF kutugomea jana na leo kidogo. Nawatakieni weekend njema na burudani njema. Nawapenda wote. Lots of love
xx
Ngoja tuoneHistoria huwa zinavunjwa na historia
Na kweli mkuu
Maandaliz ya kuhamia dom vip!!?
Bonge ya song alikuwa ana lalamika kama mie nnavo mlalamikiaga binamu hapaUnaitwa "How deep is your love"
Inawezekana kabisaAnapenda sana nadhani itakuwa ni favourite color yake.
Kwa kuvaa tu na kuvua inawezekana lakini hata bongoAnhaaa
Ila kwa hapa bongo jaman nguo nyeupe ni majanga
Ladies first,Sasa tuweke appointment basi
Nimefurahi kukuona hapaNiko poa kabisa jirani yangu sweetiepie
Nani tena huyo aliekusumbua?? Sitaki kuamini ya kuwa binamu ananichezea fauloAfadhali umerudi, nimesumbuliwa sana, huonekani cm haipatikani basi shida tu, nikamwambia ondoa shaka
Daaah basi tenaTwisted umegoma kupakuliwa...