Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
How deep is your loveAliimba kwa hisia kweli
Waitwaje huu!!?
How deep is your loveAliimba kwa hisia kweli
Waitwaje huu!!?
Twisted unanizingua sijui kwanini...nimejaribu sana inakuja link ingineHuu nao ulitamba sana
Sasa Twisted hauweki??
Karibu dadaaAsante sana sweetiepie
Huku sasa ni kutoridhikaHaaaa
Ila naskia alisha anza kupanga kwenda kwa kivuruge
Hahaha...basi kashapata ujumbe hapoBonge ya song alikuwa ana lalamika kama mie nnavo mlalamikiaga binamu hapa
Hao imani zao ni habaHahaha
U r wrong, muulize Nchnge na kifukwe hawana hamu na uyu babu
Unaitwa "How deep is your love"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sio kwa wivu huu jamaniMam kipnd kile ilikuwa sawa sku hiz uwe makini
Uko vizuri Cobblepots [emoji5]kwakweli hizo nyimbo huwa hazichuji kabisa!Umenikumbusha mbali sana.
Nilikuwa na Album hiyo inaitwa THE LIFE.
Kitambo sana, Good Music.
Kivipi??Pale tunasubiria wakubwa waseme kwanza,
halafu unajua Iringa utakuwa mji mkubwa sana?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Bonge ya song alikuwa ana lalamika kama mie nnavo mlalamikiaga binamu hapa
Nkajua atasema labda DomKivipi??
Pia mimiNimefurahi kukuona hapa
Uko vizuri Cobblepots [emoji5]kwakweli hizo nyimbo huwa hazichuji kabisa!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nani tena huyo aliekusumbua?? Sitaki kuamini ya kuwa binamu ananichezea faulo
Ngoja tumsubirie Briz ili tupange kwa pamoja tuweke rekodi nyingine mpyaLadies first,
Panga and i'm on with it
Cc sweetiepieI remember 80's and 90's.
Kuna moja unaitwa I love you more everyday.
My baby bro anaupenda sana, hivi umeweka nyimbo hizi nimekumbuka nyumbani ghafla.
Basi sio kesiTwisted unanizingua sijui kwanini...nimejaribu sana inakuja link ingine