Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Kitatoka kikirudisha nambaNa ndio hakitoki yanga sasa
Yule mzee ni shida, sasa hivi anatumika na Manji kupima upepo jangwani, watu wasivyoelewa wanamlaumu yule mzee, kumbe ni dili lake na ManjiHahahaha
Naskiaga akivua kofia ni mpaka miaka apo yanga ku recover
Nsharudi mkwee maana nlihis ntakiwa nsha porwa mpenzi hapa ni kivuruge mmoja hiviNipo mkwe, umepotea sana
Hatupotei....Tusiwapoteze tu Hawa watu
Cc jimena and bitoz
HahahahaaHalita salia hata jiwe juu ya jiwe, sio mimi ni biblia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha
Karbu kaka pole na kweli kuwa busy ndo mpango mzima kwa awamu hii
Hahaha

Historia huwa zinavunjwa na historiaTupo tunakomaa mwanzo mwisho. Ila ile kampani ya kukesha mpaka asubuhi ndio haijawahi kujirudia tenaa
HahahahaView attachment 384883
Hii ligi uchwara inaboa....ngoja niachane nayo hadi mpira uoshe maana mshindi ni km keshajulikana
...........
Weka picha
Ni mtanashati sana yule mkaka...anapenda sana nguo nyeupeAtakiwa ni WCB
Jimena yaan hilo uwa hali hitaji ubishi mama anguHizo ni imani tu
Huo wimbo una hisia kali sana huo...naukubali sanaHaaaaa
Mambo mapya haya
Bonge ya wimbo nmependa pale alpo.......
Hii kauli haitakuwa na maana miaka 1000 ijayoHalita salia hata jiwe juu ya jiwe, sio mimi ni biblia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Anapenda sana nadhani itakuwa ni favourite color yake.Huu wimbo nao ni mtamu sana, halafu kwanini Keith anapenda sana kuvaa nguo nyeupe??
Afadhali umerudi, nimesumbuliwa sana, huonekani cm haipatikani basi shida tu, nikamwambia ondoa shakaNsharudi mkwee maana nlihis ntakiwa nsha porwa mpenzi hapa ni kivuruge mmoja hivi
Ndio nimeshabisha sasaJimena yaan hilo uwa hali hitaji ubishi mama angu