shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Na ndio hakitoki yanga sasaSikipendi kweli
Na ndio hakitoki yanga sasaSikipendi kweli
Ngoja ntaenda kuwatafuta hao wengine warud shule
Imefungua sasa
na Briz usiache kumleta pleaseNzuri mkuu
Ulienda wapi!!?
Tusiwapoteze tu Hawa watuHahaha
Alisema ata amisha mtu mji binam muachee
Weka pichaTaarifa hizo sio za ukweli binamu na naomba zipuuzwe kabisa
Keith Sweat - I'll Give All My Love To You:
Nipo mkwe, umepotea sanaMkweee
Mbona kimyaaa, ukuje tulijenge taifa
Gusa uoneJeuri hiyo hana
Tupo tunakomaa mwanzo mwisho. Ila ile kampani ya kukesha mpaka asubuhi ndio haijawahi kujirudia tenaaNjema kabisa ndugu yangu.
Nafurahi kuwaona wazima kabisa na ndugu zangu wengine bado mnalisongesha mdogo mdogo.
Halita salia hata jiwe juu ya jiwe, sio mimi ni bibliaMimi sikufii
![]()

Keith Sweat - I'll Give All My Love To You:
Tupo tunakomaa mwanzo mwisho. Ila ile kampani ya kukesha mpaka asubuhi ndio haijawahi kujirudia tenaa
Hizo ni imani tuHahahaha
Naskiaga akivua kofia ni mpaka miaka apo yanga ku recover
HahahaNipo mkuu mishe za hapa na pale zinabana kidogo.
Mara nyingi nikiingia huwa mnakuwa mshalala.
Atakiwa ni WCBHuu wimbo nao ni mtamu sana, halafu kwanini Keith anapenda sana kuvaa nguo nyeupe??