Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Umemuona shemeji yako???duh .. ongea taratibu mkuu hapa kuna watu wengi ujue ...
Umemuona shemeji yako???duh .. ongea taratibu mkuu hapa kuna watu wengi ujue ...
shemeji lizziebettieHongera sana braza. Linamo shemeji
Mzima kabisashemeji lizziebettie
AigooooAkipenda anko P inatoshaaa![]()
![]()
![]()
umemaliza yote mkuu wa kaya..Mi wala sina la kuongezea🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Utaanzia wapi kwa mfano, na wakati mtoto niko nae na ameshaniganda ka ruba vile.
cc: my baby aggyjay
upendavyo mamaanguTuhamie Korea eeeeeh![]()
![]()
![]()
![]()

Naomba uzame
Maana bongo wanga wengiupendavyo mamaangu![]()
Akuu, unataka kuniyumbishia ndoa yangu.Lol we jibu tu
Bado nausoma mchezo kumuangalia kama ana malengo mazuri na wewe ...Umemuona shemeji yako???
Btw, ulisema ulikuwa unanitafuta, unasemaje mrembo wanguMaana bongo wanga wengi
Shemeji yako mkweli bwanaBado nausoma mchezo kumuangalia kama ana malengo mazuri na wewe ...
Nilikuwa sijakuona humu siku mbili tatuBtw, ulisema ulikuwa unanitafuta, unasemaje mrembo wangu

Asante kwa taarifa...nimekupata vyemaVijembe ruksa
Ila mtu AKITUKANA MATUSI MAZITO
Tunamuombea BAN
........................
Ndoa bongo? Ndoa yangu na P tu nyingine zote ndoanoAkuu, unataka kuniyumbishia ndoa yangu.
