Nimekutakia safari njema tuu lakini..............Ushaanza kunilisha maneno. Siendi kwa briz Bali naenda kumtafuta vile ameadimika leo siku ya 3 hajaonekana hapa na nimem miss
Mh usipomuona wewe sidhani kama mimi nitamuona...umeshamuuliza Shululu labda anafahamu alipo? Tuendelee kumtafuta.Please kama utamuona my binamu Szczesny basi umpe salamu zangu kwa wingi
Morning QuigleyMorning family
Nawe piaNawatakia siku njema na ya baraka wote
Pengine binamu yako naye App inamsumbua?? huwezi juashululu mpaka sasa application bado inamgomea hivyo tuwe wastahimilivu tu mpaka mambo yatapokuwa sawa
Ndio maana yake, hili tatizo ni kubwa kwakweliPengine binamu yako naye App inamsumbua?? huwezi jua
Asante sana JJ kwa amka na magazetiView attachment 384482View attachment 384483
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti! Kumbuka tu yaliletwa kwenu kwa hisani ya JF application kugoma kufunguka siku ya Jana. Niite Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ
Nawatakia week end njema wote
Karibu ankaliAsante sana JJ kwa amka na magazeti
NimekaribiaKaribu ankali
Tusubiri itakuwa sawia tu.Ndio maana yake, hili tatizo ni kubwa kwakweli
Karibu tenaImekubali sasa
Ni kweli, uvumilivu muhimuTusubiri itakuwa sawia tu.
AsanteKaribu tena