Kitu gani mbona hata sikumbuki?Jimena naona umeshaamka, hebu rushie ile kitu dadangu![]()
VIVA United
Na kwako piaNawatakia siku njema na ya baraka wote
MorningMorning family
Asante kwa magazeti!View attachment 384482View attachment 384483
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti! Kumbuka tu yaliletwa kwenu kwa hisani ya JF application kugoma kufunguka siku ya Jana. Niite Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ
Nawatakia week end njema wote
Mi pia sijamuona tangu juzi...sijui kapotelea wapi huyu binadamu.Pleasure
Hivi umemuona wapi my binamu?? I real miss Szczesny
Briz nae haonekani? sijaligundua hilo...tuwatafute hawa watu isije kuwa wamevamiwa na panya road.Je briz maana huenda binamu yuko busy na jirani yetu toka Tanga, nakumbuka alirudi na homa
Hawawezi... Wako vizuri sanaaBriz nae haonekani? sijaligundua hilo...tuwatafute hawa watu isije kuwa wamevamiwa na panya road.
Hawawezi... Wako vizuri sanaa
Acha nifanye utaratibu wa kwenda Iringa kumtafuta briz
Najua tatizo ni application ila ndo nshapata kisingizio cha kwenda




Iringa Kwa Briz??! Safari njema.