Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Leo katika Historia:
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
..........
Leo katika Historia:
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Leo katika Historia:
1946 - Laurent Fabius anazaliwa.
Alikiwa ni Waziri Mkuu wa 158 wa Ufaransa.
Mbona umezeeka hivi mkuuKapuku ni shida![]()
KakaNdoto za mchana kabisa...
Leo katika Historia:
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
Umemupa majibu mujarabuKm UKIMWI
![]()
![]()
![]()
..............
Humwoni alivyokoroka?Kwani wewe umekufa?
Leo katika Historia:
1965 - KRS - One anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hip Hop toka nchini Marekani.
Leo katika Historia:
1966 - Enrico Letta anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 55 wa ITALY.
Nambie mkuuKaka
Leo katika Historia:
1983 - Yuri Zhirkov anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Russia.
Anafahamika zaidi kama Ronaldinho wa Russia.