Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Tatizo sijui hii app ninayotumia?Naona avatar yako kwa sharobaro
Tatizo sijui hii app ninayotumia?Naona avatar yako kwa sharobaro
***Nakumbuka Msafara wa makamu wa Rais, Gharib Bilal ulipata ajali kwenye kona za mombo, difenda ya FFU iliharibika vibaya na baadhi ya askari walifariki palepale.
Tulipita na shambalai, kama Dakika moja hivi likashuka jiwe kutoka juu mpaka, lingetukuta tusinge pona, ilikuwa bonge la jiwe kama Tani 1 hivi
Duuuh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawa jamaa nawakubali sana kwa thug life yao... Makapuku tour ya gombe natoa uzamin wa transportView attachment 383972sawa jombaaa
...........
Itafanyika Mabibo Beach[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawa jamaa nawakubali sana kwa thug life yao... Makapuku tour ya gombe natoa uzamin wa transport
[emoji1] [emoji1] kambale beachItafanyika Mabibo Beach
Unayo maboya ?View attachment 383991
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
............
Ukifika Soni kuna barabara inayoelekea Lushoto ambayo ni lami na nyingine inayoelekea Bumbuli, nilikuwa naenda Bumbuli.Ulikuwa unaenda Kongo
Tutajie vitongoji viwili unavyovijua
Wakongo hamuaminiki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
..................
Wanachumvi hao
Ngoja nitafuteItafanyika Mabibo Beach
Unayo maboya ?View attachment 383991
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
............
kijana wetu huyo
PW mkuu ndo tunaamkaGoodnight family, lewo naangusha mapemaaaa
Huyo yupo, binamu tu ndo ambae haonekaniSijamwona leo, na jirani yake Shululu nae umemwona???
Niedi [emoji85]osie nzeze
NamdaiUMENUNUA JEANS ZAKO KAMA NNE HIV ZILE ZA MTINDO WA KUCHANIKA (CHANIKA JEANS) UMEZIFUA UMEZIANIKA UMEENDA KUTEMBEA ILE UMERUDI UNAKUTA BIBI AKO KAZISHONA ZOTE.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......................
Duuu mpaka inaogopesha hizo konaKutoka Mombo mpaka Soni kuna jumla ya kona 42.
Ukikutana na dereva mzoefu, ni mwendo wa dk 40 mpk 45.
Sehemu mbaya zaidi ni kuanzia Vuga road mpaka pale kwenye barrier ya polisi kama Unashuka.