Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Tulipita na shambalai, kama Dakika moja hivi likashuka jiwe kutoka juu mpaka, lingetukuta tusinge pona, ilikuwa bonge la jiwe kama Tani 1 hivi

Tulipita na shambalai, kama Dakika moja hivi likashuka jiwe kutoka juu mpaka, lingetukuta tusinge pona, ilikuwa bonge la jiwe kama Tani 1 hivi

Good nyt shemejiGoodnight family, lewo naangusha mapemaaaa
Hahahaha mnanifurahisha sanaNamdai
Upo?kijana wetu huyo
Nipo sanaUpo?
Mbona umeadimika kama chozi la samaki
Hahaha mi nipo sasa application inasumbua na kupost kwa browser haina hata rahaMbona umeadimika kama chozi la samaki
Jf App imerudishwa hewaniHahaha mi nipo sasa application inasumbua na kupost kwa browser haina hata raha
Kwangu mpaka muda huu bado ni majanga.Leo App imezingua kinoma.