Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
ok...Mfuate invisible PM
Umueleze 7bu na jina unalotaka(ambalo halitumiwi na mwingine)
.................
Unam-pm mod. alie duty anabadilialaa kumbe!!
Hivi ukitaka kubadili unafanyaje?
YeeersKutoka Mombo mpaka Soni kuna jumla ya kona 42.
Ukikutana na dereva mzoefu, ni mwendo wa dk 40 mpk 45.
Sehemu mbaya zaidi ni kuanzia Vuga road mpaka pale kwenye barrier ya polisi kama Unashuka.
Zaidi ya ng'ombe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................
HahahahahaaaAu power bank![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
HahahahahaaZaidi ya ng'ombe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Ila kubwa lao leo umeongea point sana, Kitonga is so overrated.Yeeers
Noma zaidi ukipanda vile vidaladala km pipi ...madereva uchwara
...........
OyoooJamani Youngblood kabadili jina!!! Anajiita Superiority Complex![]()
Kitonga sipitishi mwk sijapita pale......Tembea uone mambo ht baridi la Kushoto noma sanaIla kubwa lao leo umeongea point sana, Kitonga is so overrated.
Zile kona za Lushoto sio mchezo.
Mwanga nini hahahahaha nawaza tuBibi zober
Kazoea kaniki
![]()
![]()
![]()
.............
Nimepita hiyo njia ni noma aseeKutoka Mombo mpaka Soni kuna jumla ya kona 42.
Ukikutana na dereva mzoefu, ni mwendo wa dk 40 mpk 45.
Sehemu mbaya zaidi ni kuanzia Vuga road mpaka pale kwenye barrier ya polisi kama Unashuka.
Tulipita na shambalai, kama Dakika moja hivi likashuka jiwe kutoka juu mpaka, lingetukuta tusinge pona, ilikuwa bonge la jiwe kama Tani 1 hiviFIX ZA BITOZ:
Tuliaminishwaga kwamba Mlima Kitonga ndo hatari zaidi hapa Bongoland kuizidi Sekenke n.k
Lakini baada ya misele yangu kule Milima ya Usambara for almost 3 yrs nikagundua Kitonga cha mtoto tu .......
Milima ya Kushoto ni balaa kubwa huwezi overtake,kuna bonge la ukungu,kona kibao kuanzia Mombo saa nzima .........magari makubwa hayapishani yaani Shambalai likikutana Manning Nice juu Mlimani busara inatumika ya kuweka gari pembeni
Kitonga ajali nyingi 7bu mahari mengi yanapita pale na malori ya kutosha yanayoenda nje ya nchi wkt Lushoto ni pembezoni ya nchi na hivyo mahari ni machache ni nadra kuliona lori la kontena
Kushoto noma ...usiombe kipindi cha ukungu dereva anasukuma gari km mkokoteni....
View attachment 383977
*******"""""""""*************
Ulikuwa unaenda KongoNimepita hiyo njia ni noma asee
Hatate Mkuu...usambaani huko. Kuna hali ya hewa moja nzuri sana.Nimepita hiyo njia ni noma asee
Naona avatar yako kwa sharobaro
Hahahahaha kama boga
Nakumbuka Msafara wa makamu wa Rais, Gharib Bilal ulipata ajali kwenye kona za mombo, difenda ya FFU iliharibika vibaya na baadhi ya askari walifariki palepale.Mwanga nini hahahahaha nawaza tu