Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jf haionekani pia
1471543333321.jpg

Ndo napenda ....sipendi kufuatwafuatwa WhatsApp na PM JF ......ukificha last seen/online status inasaidia kumkata mtu stimu ya kuanzisha chat za kibwege
...........
 
View attachment 383969
Ndo napenda ....sipendi kufuatwafuatwa WhatsApp na PM JF ......ukificha last seen/online status inasaidia kumkata mtu stimu ya kuanzisha chat za kibwege
...........
Mi binafsi ni online tu kama sitaki kuwasiliana na mtu si namu ignore tu au kumblock kabisa...no need to hide my online status.
 
Mi binafsi ni online tu kama sitaki kuwasiliana na mtu si namu ignore tu au kumblock kabisa...no need to hide my online status.
Kumblock mtu siwezi kamwe.....hata unitukane/unifanyie baya gani SIKUBLOCK
Nakudelete # tu nakuacha uendelee kuangalia jinsi ninavyokuignore na issue zangu kusonga mbele
Sipendi tu ntu hajue naamka saa ngapi,nachat chat ana vipi
....................
 
Kumblock mtu siwezi kamwe.....hata unitukane/unifanyie baya gani SIKUBLOCK
Nakudelete # tu nakuacha uendelee muangalia jinsi ninavyokuignore na issue zangu kusonga mbele
Sipendi tu ntu hajue naamka saa ngapi,nachat chat ana vipi
....................
Mi ilikuwa too much nikablock mtu mara moja tu kwa mara ya kwanza maana alikuwa too annoying. Mi nataka nione mtu last seen yake ni saa ngap ili nijue kama atakuwa bize ama la ndio maana na mimi yangu naiacha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom