Busy vibaya sana leoUnaonekana bize kimtindo
Mi ni buheri wa afya, uwe unapita japo kusema hello tuCobblepots amekumiss sana Jimena.
Alitingwa na mishe mishe kibao tu za hapa mtaani.
Jimena wetu mzima lakini?
Huu sasa uchocheziWakirudi wanarudi pamoja
Mkuu kitambo sanaCobblepots amekumiss sana Jimena.
Alitingwa na mishe mishe kibao tu za hapa mtaani.
Jimena wetu mzima lakini?
Poa usijali, pambanaBusy vibaya sana leo
Bado tunapambana kaka, ndani na nje ya jukwaakweli kitambo sana kaka.
Mishe niaje lakini??
Weka pichaHuu sasa uchochezi

Weka picha![]()




nimecheka sana hii, umeimaliza siku yangu vyema kabisa