Makapuku Forum

Makapuku Forum

Miraba mi4!! hahahaa
Kwa hyo unasemaje sasa?
1471509485103.jpg
 
Sihakuringishia.. bali nmekuwa muwazi kabisa...

Nmesema vile ili kuondelee wasiwasi ili siku za mbeleni usije ukahoji au kupata mashaka.
Kwanza siunaina jina langu ndo nalitumia hilo hilo kwenye kampuni yangu
Kazi nnayo...changa la macho mchana kweupeeeee, haya City boy zinaenda Mwanza hizo?? [emoji47][emoji47][emoji19][emoji19][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom