Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 2, Tenerife Airport Disaster – 583 walifariki
1471458680393.jpg
hii ndo ajali mbaya zaid inayo husisha ndege pekee kutokea duniani ambayo ilitokea hapo March 27, 1977, huko Los Rodeos Airport (sasaTenerife North Airport) hispania
Kwa kuwa siku hiyo uwanja wa Granada ulipatwa na mlipuko na pia viwanja vingi vika amua kufungia ndege kwa ajili ya usalama ndipo saa ndege nyingi zilihamia uwanja buu wa teneriffe
Ndege mbili aina ya KLM Flight 4805 na Pan Am Flight 1736, nazo zilikuwe kwa kuwa ndege zilikuwa nyingi halafu uwanja ulikuwa ni mdogo ndege zilipaki mpaka kufanya uwanja usitoshe na kuacha njia moja tuu ya kuondolea ndege
Na wakati huo huo mamlaka ya uwanja ilitaka ifungue grand canaria na kwa kuwa ilibidi wasubiri ndipo ukungu mzitoo ulipo tokea , baada ya grand canaria kufunguliwa , ndege ziliamuliwa zianze kujiandaa kwa kusogea ilo ziondoke
Sasa kwa kuwa ukungu ulikuwa ni mzito na radar ya juu wafanyakaz wake walishindwa kuziona ndege na hakukuwa na rada ya chini, na kwa kuwa kulikuwa hakina namna nyingine ya kuziruhusu ndege, muongoza sauti ali ziruhusu ndege zijiandae kupaa lakin hawaku irihusu KLM na kutokana na hilo zote zili ondoka na kukuta na kugongana so kuua watu wote hao
Wana sema hii ajali ndiyo ilisaidia sana kuimarisha uongozaji wa kisasa wa ndege, kampun ya KLM ilikubali kuwa ruban wao ndio alikosea kwa kudhani njia imekuwa cleared na ikalipa gharama zote za ajali
 
Number 2, Tenerife Airport Disaster – 583 walifariki View attachment 383420hii ndo ajali mbaya zaid inayo husisha ndege pekee kutokea duniani ambayo ilitokea hapo March 27, 1977, huko Los Rodeos Airport (sasaTenerife North Airport) hispania
Kwa kuwa siku hiyo uwanja wa Granada ulipatwa na mlipuko na pia viwanja vingi vika amua kufungia ndege kwa ajili ya usalama ndipo saa ndege nyingi zilihamia uwanja buu wa teneriffe
Ndege mbili aina ya KLM Flight 4805 na Pan Am Flight 1736, nazo zilikuwe kwa kuwa ndege zilikuwa nyingi halafu uwanja ulikuwa ni mdogo ndege zilipaki mpaka kufanya uwanja usitoshe na kuacha njia moja tuu ya kuondolea ndege
Na wakati huo huo mamlaka ya uwanja ilitaka ifungue grand canaria na kwa kuwa ilibidi wasubiri ndipo ukungu mzitoo ulipo tokea , baada ya grand canaria kufunguliwa , ndege ziliamuliwa zianze kujiandaa kwa kusogea ilo ziondoke
Sasa kwa kuwa ukungu ulikuwa ni mzito na radar ya juu wafanyakaz wake walishindwa kuziona ndege na hakukuwa na rada ya chini, na kwa kuwa kulikuwa hakina namna nyingine ya kuziruhusu ndege, muongoza sauti ali ziruhusu ndege zijiandae kupaa lakin hawaku irihusu KLM na kutokana na hilo zote zili ondoka na kukuta na kugongana so kuua watu wote hao
Wana sema hii ajali ndiyo ilisaidia sana kuimarisha uongozaji wa kisasa wa ndege, kampun ya KLM ilikubali kuwa ruban wao ndio alikosea kwa kudhani njia imekuwa cleared na ikalipa gharama zote za ajali
Wapumzike kwa amani
 
Number 1 9/11 flights-waliofariki 1700-2000
1471460008714.jpg

Hili ni shambulio la kigaidi lilitokea huko marekani mwaka 2001, so lina julikana mpaka lina boa, kwa hiyo ni kuwa hii ndo ajali kubwa ilo husisha ndege kuwahi kutokea

Kama hulijui kwa kweli ntakushangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom