Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
We hupendi chai??Mkongo huyo
We hupendi chai??Mkongo huyo
Waarabu akili zao huwa ni fupiHawapewagi somo kabla kwani?!...mbona hivyo lakini uzembe huo wa wazi wazi.
Hapa sasa ndio nimeona umuhimu wa kiinglishNumber 4, Charkhi Dadri mid-air collision–349,walifarikiView attachment 383396 uliwahi ona wewe ndege zna gongana!!? Yaan anga loote hilo ndege zigongane!!! Hehehehe hii ndo ilitokea, hii naye ilikuwa ni kutokana na kutoelewa lugha ya ki inglish
tarehe 12 november 1996 ndege mbili moja ya Saudi Arabian Airlines Flight 763 na Kazakhstan Airlines Flight 1907, ni kwamba wakati ndege moja ilikuwa ina toka india kwenda Jeddah,ingine ilikuwa inatoka kutoka india kwenda Kazhakstan, sasa wakati hii ya india kwenda saudi ilipo ruhusiwa iondoke , hii ya kazhakstan Pilot wake aliambiwa ajiandae lakini kwa kuwa alikuwa hajui ki ingereza vzuri naye alipaa huko huko angani
Kwa kuwa waongozaji walishindwa ku zo control, ndege hzo zligongana hiyo ya saudi ilivunjika nusu kwa nusu, na kuanguka, na ya pili hiyonyan kazhakstan ili katika bawa moja na kuungua japo ilifanikiwa kutua ililipuka na kuwaka hapo hapo, wakati uokozi una fikia ndege ya saudi walikutwa abiria wa 4 wakiwa wazima na wamefunga mikanda yao lakin walipo fikushwa hospital walifariki kwa kuwa waliumia ndani kwa ndani
Ndo tuna waambia mtafute hata ras simba tuu akufundshe ki inglish mwee!

Chai sipendi kabisaWe hupendi chai??
Hahaaaaaaaa!

Ze ung'eng'ez shidaNumber 4, Charkhi Dadri mid-air collision–349,walifarikiView attachment 383396 uliwahi ona wewe ndege zna gongana!!? Yaan anga loote hilo ndege zigongane!!! Hehehehe hii ndo ilitokea, hii naye ilikuwa ni kutokana na kutoelewa lugha ya ki inglish
tarehe 12 november 1996 ndege mbili moja ya Saudi Arabian Airlines Flight 763 na Kazakhstan Airlines Flight 1907, ni kwamba wakati ndege moja ilikuwa ina toka india kwenda Jeddah,ingine ilikuwa inatoka kutoka india kwenda Kazhakstan, sasa wakati hii ya india kwenda saudi ilipo ruhusiwa iondoke , hii ya kazhakstan Pilot wake aliambiwa ajiandae lakini kwa kuwa alikuwa hajui ki ingereza vzuri naye alipaa huko huko angani
Kwa kuwa waongozaji walishindwa ku zo control, ndege hzo zligongana hiyo ya saudi ilivunjika nusu kwa nusu, na kuanguka, na ya pili hiyonyan kazhakstan ili katika bawa moja na kuungua japo ilifanikiwa kutua ililipuka na kuwaka hapo hapo, wakati uokozi una fikia ndege ya saudi walikutwa abiria wa 4 wakiwa wazima na wamefunga mikanda yao lakin walipo fikushwa hospital walifariki kwa kuwa waliumia ndani kwa ndani
Ndo tuna waambia mtafute hata ras simba tuu akufundshe ki inglish mwee!
Cc bitoz
Afadhali. Maana wapenda chai wamepelekea hadi ndege imeunguaChai sipendi kabisa
Ya kwenu yamewashinda....mnazungumzia ya jirani
Sijui nini na nini mkia uka7bisha kukosekana kwa control ya ndege ndo hivyo tena....asee naombeni namba ya ras lionNumber 3, Japan Airlines Flight 123, 520 wlifariki, 4 walipona View attachment 383403 misjuagi kilitokea nn lakin hawa wazungu wana sema hvi
"On August 12, 1985 a flight from Tokyo to Osaka crashed into Mount Takamagahara leaving only 4 survivors.
The explosive decompression was caused by a faulty repair performed after a tailstrike incident during a landing seven years earlier. A doubler plate on the rear bulkhead of the plane was improperly repaired, compromising the plane's airworthiness. Cabin pressurization continued to expand and contract the improperly repaired bulkhead until the day of the accident, when the faulty repair finally failed, causing the explosive decompression that ripped off a large portion of the tail and caused the loss of hydraulic controls to the entire plane".

Wasindikizaji hao...!Ya kwenu yamewashinda....mnazungumzia ya jirani
Mifugo atawapa ubingwa
![]()
![]()
![]()
.........

+12345678910Sijui nini na nini mkia uka7bisha kukosekana kwa control ya ndege ndo hivyo tena....asee naombeni namba ya ras lion![]()
Thanks, kesio mapemaaaaaa+12345678910