Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nakuona shemejiUmijifanya zuzu eeh???
Unazo nguo za kutosha kukabiliana na hiyo hali??Kuna baridi hatari, ila hapa mjini naona kama imepungua kidogo nkilinganisha na kule milimani
Duuh hatari mkuuNumber 8, Iran Air Flight 655 – 290,walifarikiView attachment 3833733/7/1988 ndege hii ya aburia ambayo ilikuwa inatoka Iran kuwanda Abu Dhabi huko Dubai, ndege hii ilitunguliwa kimakosa na meli za kivita za ki marekani kutokana na mawasiliano kutokuwa mazuri baina ya mamlaka ya anga ya Iran, marubani wa ndege na jeshi la marekani , wakati ndege hiyo iki ondoka ilo kuwa ikitumia IFF squawks ya Mode III (na siyo Mode II used inayo tumika na majeshibya angabya Irani) ambayo ni ya ndege za kawaida, kwa hiyo wakati wana jeshi wa marekani walipi iona walifikiri kuwa ni ndege ya kijeshi aina ya F-14s, ambayo walitaarifiwa imebeba na makombora na vifaa vya maangamizi, wakati walipo wa brief watu wa Iran walisema hawaitambui ndege hiyo, na walipo wasiliana na rubani wa ndege hakujibu kitu kwa kuwa yeye alitumia Mode III na wao mode II hivo ni hakika hakuskia chochote, ndipo wana maji wa marekani walipo itungua wakidhani ni kiburi cha rubani, na kuua watu hao 290, hapo hapo marekani hawakuoma msamaha wowote kwani wakisema wao hawakajua na ni misscommunications tuu ndo zli sababisha ,
Baadaye mwaka 1995 mahakama ya kimataifa ya haki ,iliamuru marekani walipe fidia kwa kila familia ilo poteza maisha dola za kimarekani milioni 2.4
Na ndio ukawa mwisho hapo
Mboni sikuoni? Umikaa wapi?Nakuona shemeji
AsanteSo leo tuta angalia ajali/majanga kubwa zai ya ndege zlizo wahi kutokea dunian kote
Yaan worst aviation disasters and plane crashes in history.
Karbuni
Kavurugwa
Hii kali sasaNumber 8, Iran Air Flight 655 – 290,walifarikiView attachment 3833733/7/1988 ndege hii ya aburia ambayo ilikuwa inatoka Iran kuwanda Abu Dhabi huko Dubai, ndege hii ilitunguliwa kimakosa na meli za kivita za ki marekani kutokana na mawasiliano kutokuwa mazuri baina ya mamlaka ya anga ya Iran, marubani wa ndege na jeshi la marekani , wakati ndege hiyo iki ondoka ilo kuwa ikitumia IFF squawks ya Mode III (na siyo Mode II used inayo tumika na majeshibya angabya Irani) ambayo ni ya ndege za kawaida, kwa hiyo wakati wana jeshi wa marekani walipi iona walifikiri kuwa ni ndege ya kijeshi aina ya F-14s, ambayo walitaarifiwa imebeba na makombora na vifaa vya maangamizi, wakati walipo wa brief watu wa Iran walisema hawaitambui ndege hiyo, na walipo wasiliana na rubani wa ndege hakujibu kitu kwa kuwa yeye alitumia Mode III na wao mode II hivo ni hakika hakuskia chochote, ndipo wana maji wa marekani walipo itungua wakidhani ni kiburi cha rubani, na kuua watu hao 290, hapo hapo marekani hawakuoma msamaha wowote kwani wakisema wao hawakajua na ni misscommunications tuu ndo zli sababisha ,
Baadaye mwaka 1995 mahakama ya kimataifa ya haki ,iliamuru marekani walipe fidia kwa kila familia ilo poteza maisha dola za kimarekani milioni 2.4
Na ndio ukawa mwisho hapo
Ndio maana yakeHawa walitaka kwenda kuua wenye haki.
Kuliko dagaaWamarekan nao ni makauzu
Chai ili7bisha maskiniNumber 7, Saudia Flight 163 – 30, walifariki View attachment 383376 19 August 1980, ndio ndege hii ilipopata janga hilo
Inasemekana kuwa wakati ndege iko angani kuna mmoja wa mahujaji wa kutoka pakistan alikuwa akichemsha chai kwenye butan stove na ndiposa moto uka kama kuanzia kwenye sehem ya kuhifadhi mizigo na wakati marubani walipo hisi kuna kitu kina waka hapo wali omba wafanya kushuka kwa emergemce uwanja wa ndege wa Riyadh, na kweli walikubaliwa
Lakini ndege ilipo shuka haikusimama pale ambapo zima moto walihisi ita simama hivo na kufanya wachelwe kuifikia takriban dakika 5,na kitu, baada ya kushuka ndege hiyo , watu wa zima moto hawaku isogelea kwani injini ilikuwa haija zimwa na ilichukua kama dakika 10,na zaid kuzima, wakati ilpo kwisha zimwa tuu, injinia mmoja alienda karibu na mlango kuufungua kwani marubani hawakuwa wamefungua, ndege hiyo ililipuka hapo hapo
Sasa wakati wa uchunguzi wa maiti iligundulika kuwa ni watu waili tuu ambao ni mainjinia walikifa kwa mlipuko ika wengine wote walikufa dakika 23,kabla, hivo ina aminika kuwa abiria hao walifariki kwa moshi mda ambao watu wa fire walikuwa wakiifuata ndege na wakisubiri injini ifike, na kwa kuwa abiria wote mabaki yao yalikutwa kwenye nusu ya mbele ya ndege walithibitisha kuwa moshi ndio uliwaua na si moto
Hawa walikufa kifo cha mateso zaid nadhan kuliko ajali nyngne
Huu sasa uzembe... Kwani chai si angesubiri kupewa jamani mpaka achemshe mwenyewe??Number 7, Saudia Flight 163 – 30, walifariki View attachment 383376 19 August 1980, ndio ndege hii ilipopata janga hilo
Inasemekana kuwa wakati ndege iko angani kuna mmoja wa mahujaji wa kutoka pakistan alikuwa akichemsha chai kwenye butan stove na ndiposa moto uka kama kuanzia kwenye sehem ya kuhifadhi mizigo na wakati marubani walipo hisi kuna kitu kina waka hapo wali omba wafanya kushuka kwa emergemce uwanja wa ndege wa Riyadh, na kweli walikubaliwa
Lakini ndege ilipo shuka haikusimama pale ambapo zima moto walihisi ita simama hivo na kufanya wachelwe kuifikia takriban dakika 5,na kitu, baada ya kushuka ndege hiyo , watu wa zima moto hawaku isogelea kwani injini ilikuwa haija zimwa na ilichukua kama dakika 10,na zaid kuzima, wakati ilpo kwisha zimwa tuu, injinia mmoja alienda karibu na mlango kuufungua kwani marubani hawakuwa wamefungua, ndege hiyo ililipuka hapo hapo
Sasa wakati wa uchunguzi wa maiti iligundulika kuwa ni watu waili tuu ambao ni mainjinia walikifa kwa mlipuko ika wengine wote walikufa dakika 23,kabla, hivo ina aminika kuwa abiria hao walifariki kwa moshi mda ambao watu wa fire walikuwa wakiifuata ndege na wakisubiri injini ifike, na kwa kuwa abiria wote mabaki yao yalikutwa kwenye nusu ya mbele ya ndege walithibitisha kuwa moshi ndio uliwaua na si moto
Hawa walikufa kifo cha mateso zaid nadhan kuliko ajali nyngne
Uroho tuChai ili7bisha maskini
Mbwembwe za kikongoHuu sasa uzembe... Kwani chai si angesubiri kupewa jamani mpaka achemshe mwenyewe??
Acha waangukie Pua tu maana hamna namna sasaMbwembwe za kikongo
![]()
![]()
![]()
............